Mtuideogratius
Member
- Jul 20, 2016
- 23
- 11
Dr.Mwaka Ndondo cup kampa kampa tena
Kwa hiyo wewe ulitaka waliofungiwa waendelee na biashara chini kwa chini?Ushaambiwa kwamba Kigwa ana Chuki Binafsi na Mwaka,Simtetei Mwaka hata kidogo afungiwe tu kwa kukiuka taratibu za kiserikali,ila Kigwa kwanini anakomaa na Year tu? Mbona Taasisi 6 zimefungiwa including Mwaka na wanafanya bizness chini kwa chini lkn Kigwa kamkomalia mwaka tu na ndio maana gazeti likaingia chimbo na kupata undani wa issue kwamba ni personal issue tu.
We JUMA kasoma A level ya wapi wewe,hebu tafuta historia yake vzr kwanza kabla ya kujaleta mihemko hapa.Habari wana JF,
Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.
Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.
My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.
Hahaha...watu wa ajabu kweli hawa, hakuna serikali yeyote ingemwacha salama Mwaka kwa ile kejeri alokuwa akiionesha kwenye yale matangazo yake Ch 10 kila baada ya sekunde kadhaa wiki jana, jamaa mpuuzi sana.We JUMA kasoma A level ya wapi wewe,hebu tafuta historia yake vzr kwanza kabla ya kujaleta mihemko hapa.
Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekaniMbona huyo Sigwa nae kafungiwa au nae wana beef ? Acheni uzushi uchwara
Watu wangekuwa hawaponi ningesema tapeli..ila kwa kuwa watu walikuwa wanapona mi sion utapel wake naona wivu wa kike