Habari wana JF,
Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.
Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.
My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.
Yule jamaa ni taperi,mi nashangaa wanaomkatisha Tamaa MH.KIGWANGALA kupambana na mataperi,,,,,,kibaya zaidi wake zetu hata uwaambie vp hawakuelewi kuhusu huyo dokta year,,mpaka wakimaliza miezi bila mafanikio ndio akili inawakaa sawa nakukubari mwende hospital
AVATAR YAKO HIYO PROFILE PICTURE IMEFANANA NA SURA YA KIGWANGALA
yaaaaah nilisikia kaka, mbona jukwaa letu lile kimya sana siku hizi naona umetutenga sana aisee, nakuonaga sana jukwaa la mapenzi na mahusiano tu muda mwingi kakahahaahhaah ziko powa unesikia kuna mtu kaleta mada kuwa Israel wamegundua kifaa cha kutambua magaidi?
sasa utata utakuja kwa wale wanausalama ambao wapo kwenye idara ya assassination hawawezi kutambuliwa kama magaidi?
huko uliko taja siko kabisa nadandia tu mada za kisiasa kwakua kule kwingineko mmepakimbia au mlikuwa na majukumu ya kufanya huko duniani?yaaaaah nilisikia kaka, mbona jukwaa letu lile kimya sana siku hizi naona umetutenga sana aisee, nakuonaga sana jukwaa la mapenzi na mahusiano tu muda mwingi kaka
hata kwenye TV hakuna akimwonaMbona kiga...ameshakana kupitia twitter,kua
Hakusoma na wala hamjui,siku ya kwanza anamuona ni alivotembelea kituo chake kwa
Kushtukiza.
Suluhisho ni kumuita bush doctor maana mizizi inahusikaLakini hata doctor kwa kiswahili anaitwa mganga pia, Mfano mganga mkuu wa halmashauri ya ilala, mganga mfawidhi wa kituo cha afya sinza nk
Huyo jamaa ni muuguzi bure kabisa ata tafsiri ya doctor kwa kiswahili ni mganga hajuiLakini hata doctor kwa kiswahili anaitwa mganga pia, Mfano mganga mkuu wa halmashauri ya ilala, mganga mfawidhi wa kituo cha afya sinza nk
ndio kaka kwa upande wangu majukumu yamekuwa mengi sana kwa miezi ya hivi karibuni, ila kwa vijana wengine naona topic kama zile huwa hazina mvuto kwao ukilinganisha na mambo kama mpira, mapenzi na muziki.huko uliko taja siko kabisa nadandia tu mada za kisiasa kwakua kule kwingineko mmepakimbia au mlikuwa na majukumu ya kufanya huko duniani?
uzi umekaa kiumbea umbea tena mtu mzima unakopi gazeti la UDAKU na kutuletea tujadili ujingaHabari wana JF,