Chanzo cha Beef la Dr. Kigwangalla na Tabibu Mwaka hadharani

Status
Not open for further replies.
Hoja kubwa hapo sheria zifuate mkondo
Huwezi tetea dhambi kwa njia ya dhambi
 
Nimekimbia kufungua kujua chanzo, kumbe upuuzi tu. Jipange tena sio unakurupuka
 
Habari wana JF,

Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.

Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.

My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.
Futa ujinga huu
 
Tatizo la elimu Tanzania ni kubwa sana, sidhani kama Prof Ndalichako atalimaliza. Hebu angalia huyu mleta uzi alivyoleta habari juu juu bila hata kuzingatia zile 5Ws.
Hebu jibu maswali yangu usaidie watu kuelewa; Kingwangwala na Tapeli mwaka wamesoma pamoja shule gani? Walianza mwaka gani wakamaliza mwaka gani? Je uhusiano wao shuleni ulikuwaje? Kwa nini unafikiri chanzo ni bifu na sio kwa Tapeli mwaka kukiuka misingi ya utabibu?
Safi mkuu, angetoa ushaidi walisoma shule gani au chuo gani, chanzo cha bifu lao. Maana tunajua Mwaka ni darasa la Saba. Kaenda China kuchukua kozi ya wiki mbili ndio akajiita Dr Mwaka. Mwanzo alikuwa muuza mitumba pale ilala
 
Kilichobaki mwaka ajitangaze yeye ni mganga wa kienyeji..aendelee na kazi zake..kwani waganga wa kienyeji nao waziri kingwangala anawasimamia?
Dr Mwaka hana pakukwepea.....akijifanya Waganga wa kienyeji kwa maana ya wapiga lamri... wameshapigwa marufuku long tym.... Wakati huo huo akijifanya ni Mganga wa tiba asilia, Chama chao ndicho kilichomfungia maisha kujihusisha na tiba asilia ...lol
 
Mwaka hakwenda shule hiyo form six ameipatia wapi?nashangaa watu wanamwita Doctor,watu wanafikiri kuitwa Doctor ni rahisi rahisi tu...nafikiri aitwe Mganga Mwaka
 
Habari wana JF,

Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.

Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.

My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.
Vyovyote iwavyo, hivi huyo Dr Kigwangall

Vyovyote vile iwavyo, je hao wanaojiita nini na nini Sanitariam Clinic mbona hawaguswi wakati hili ni kundi la matapeli wa wazi wazi na wanajitangaza waziwazi. Huku kanda ya Ziwa ndo usiseme, mara Lupimo, mara Dr Noni Yape, mara Star of Jerusarem ni wengi balaa. Nani anawasimamia watu hawa? Nani???? Oh tunatibu kwa matunda, sawa yaweza kuwa dawa lakini utapeli umo kibao, mwingi tu. Na ili wapate watu wengi wanadai wanatibu magonjwa sugu kisukari, ukimwi, vidonda vya tumbo, magonjwa ya moyo, figo nk. Kigwangalah yupo na anawasikia kila siku lakini nguvu zake zote na Unaibu Waziri wake wote wa Afya ni kwa Dr Mwaka. Hapana, isije ikawa mchezo wa Wizara ya Afya na marehemu Dr Ferdinand Masau, walimsumbua kisaikolojia hadi mauti yakamkumba. Nionavyo badala ya kumkatisha tamaa Dr Mwaka, wizara ingekaa naye na kumsaidia si kutishia kumkamata na kumfungia. Ni yale yale mtu anatengeneza helikopta, kwa ujuzi wake, fedha zake, wakubwa wanasema hairuhusiwi, nchi ya watu gani hawa jamani?????????
 
mm sijaona ubaya wa dk mwaka kigwangala angekua anafungia watoa huduma asingedili.na dk mwaka kila siku tu
nashangaa sana kisa mwaka na.kigwangala walikua wanamgombania mwanamke mmoja mwishowe mwanamke yule akamkataa kigwangala na kwenda kwa mwaka mpaka kawa mke wake
Halaf mgogoro mwingine mnajua kigwangala na bashe haziivi wakati wa kampeni 2010 dr mwaka alifadhili kampeni za bashe kigwangala akamaind
Kingine cha ajabu ni.kuwa hawa wote walisoma shule moja na walikua marafiki.sana kumbe kulikua na wivu si unajua tena? mnaweza mkawa marafiki.lakin kumbe mwenzako anataka udidimie yeye awe juu
kigwangala hakutarajia km mwaka angekua na mafanikio namna hii
NDO.MAANA AMEPATA UWAZIRI ANADEAL NA DR MWAKA KILA SIKU TU.NA KILICHOMUUMA NI PALE DIAMOND PLATNUM ALIVYOMPIGIA NA KUMTANGAZA DR MWAKA KUPITIA ILE NYIMBO YA UTANIPENDA
KILA SIKU.NI DR MWAKA HUKU TANZANIA KUNA MAELFU YA VITUO VYA TIBA ASILIA
TENA HAPA DAR WAMEJAA KIBAO KWANINI ASIDEAL NAO KILA SIKU MWAKA TU?
 
Ahsante mkuu,kwangu umesema yote ,yawezekana kweli kwamba mwaka amekiuka tararibu lakini namna bwana kigwangala anavyohangaika nae huku mambo lundo tele ya wizara yake yakidoda,hapo ndipo tunapozidi kupata mashaka,,walivyoanza na zile ziara zao uchwara za kushitukiza kama mkuu wao,leo hii hata mwaka haujapita ameshachoka taabani ameamua kumshughulikia mtu mmoja personaly .
Nchi ngumu hii,yaani naibu waziri kuuuuutwaaa anahangaika na mtu mmoja huku akiacha mamia ya vichanga vikifa kwa kukosa oxygen concentrator na epinephrine.
 
Kuwa na elimu haina maana Kuwa utakua Tajiri...
 
mm sijaona ubaya wa dk mwaka kigwangala angekua anafungia watoa huduma asingedili.na dk mwaka kila siku tu
nashangaa sana kisa mwaka na.kigwangala walikua wanamgombania mwanamke mmoja mwishowe mwanamke yule akamkataa kigwangala na kwenda kwa mwaka mpaka kawa mke wake
Halaf mgogoro mwingine mnajua kigwangala na bashe haziivi wakati wa kampeni 2010 dr mwaka alifadhili kampeni za bashe kigwangala akamaind
Kingine cha ajabu ni.kuwa hawa wote walisoma shule moja na walikua marafiki.sana kumbe kulikua na wivu si unajua tena? mnaweza mkawa marafiki.lakin kumbe mwenzako anataka udidimie yeye awe juu
kigwangala hakutarajia km mwaka angekua na mafanikio namna hii
NDO.MAANA AMEPATA UWAZIRI ANADEAL NA DR MWAKA KILA SIKU TU.NA KILICHOMUUMA NI PALE DIAMOND PLATNUM ALIVYOMPIGIA NA KUMTANGAZA DR MWAKA KUPITIA ILE NYIMBO YA UTANIPENDA
KILA SIKU.NI DR MWAKA HUKU TANZANIA KUNA MAELFU YA VITUO VYA TIBA ASILIA
TENA HAPA DAR WAMEJAA KIBAO KWANINI ASIDEAL NAO KILA SIKU MWAKA TU?

Umefunga mjadala mkuu maana apo juu kila mtu alikua atataka ajue chanzo, kumbe!!
 
Nilifikiri waligombania mwanamke maana kwa wanaume hiyo ndiyo personal issue kubwa. Sasa mleta mada weka hiyo personal issue hapa. Acha blablaaaa.
 
Yaani watanzania kwa kupika majungu......taja hizo personal issue ni watu wangapi wana maisha mazuri na wamesoma na viongozi bado hawafuatiliwi
 
Duu nimeshasoma post ya juu. Kumbe chanzo wivu wa mapenzi? Msomi mzima na visasi wapi? Shame shame.
 
Jamani mimi sio "mfuasi" wa Kigwangala,lakini kwenye hili nipo upande wa Dr Kigwangala
Nilimuona siku moja huyu Juma Mwaka anahojiwa na Clouds Tv,akasema alisoma Kigoma Secondary hadi Form Four,na Kigwangala alikiwa nyuma yake,maana mwaka aliomaliza kidato cha nne pale Kigoma Secondary Juma Mwaka,huyu Kigwa alikuwa vidato vya chini,

Dr Kigwa akiwa anahojiwa na Sporah Show akasema wala hajawahi kusoma na Juma Mwaka na hawafahamiani,na ukitaka kujuwa we mtoa mada ni mwongo au ndio umetumwa na Juma Mwaka,Kigwangala Advanced Level amesoma Shinyanga Secondary(Maarufu kama Shy Bush).Sisi wabeshi na wezi wa almasi Mwadui tunaifahamu Shy Bush.

Huyo Juma Mwaka hana elimu ya kidato cha tano na cha sita toka Shy Bush,sasa hiyo "beef" ya A-Level ilitokea wakiwa wapi?

Hizi propaganda ndio zinazidi kumuharibia Mwaka,alipewa muda wa kukata rufaa akakichikichia asionekane,hawezi kushindana na dola kwa utapeli na kujipenyeza kwenye ndondo Cup.Miasha ya ujanja ujanja hakuna tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom