Chanzo cha Beef la Dr. Kigwangalla na Tabibu Mwaka hadharani

Status
Not open for further replies.

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,325
Habari wana JF,

Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.

Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.

My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.
 
My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomali Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siongi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.
Mbona huyo Sigwa nae kafungiwa au nae wana beef ? Acheni uzushi uchwara
 
We Amalinze, chanzo cha bifu kiko wapi?
Hebu jipange upya na huu uzi wako.
 
Mkuu samahani hembu nikumbushe muuza mitumba wa pale Ashanti Ilala Bwana Mwaka alisoma shule gani kidato cha sita..baada ya hapo nitaendelea kuchangia huu uzi kwa hamasa kubwa
 
Toa ushauri! So hata kama wana bifu serekali ikae kimya! Hakuna seria? Hata hivyo tuweke wazi zaidi hizo bif isije ikawa udaku tu hapa kwa magreat thinkers coz naamini hata kama kuna bifu kama Dr.Mwaka angekua anaendesha shuguli zake vizuri na kwa sheria jamaa asingeweza kumzushia makosa au kumsumbua!
 
Mbona huyo Sigwa nae kafungiwa au nae wana beef ? Acheni uzushi uchwara
Sigwa amefungiwa lakini naye anaendeleza biashara chini kwa chini na matangazo yake yanaendelea kurushwa hewani kama Mwaka na jana jioni nimelisikia tangazo la Sigwa,Inakuwaje Dr. Kigwa amkomalie sigwa tu wakati walionyang'anywa (Waliofutiwa) leseni wapo kama sita hivi?
 
Habari wana JF,

Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.

Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.

My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.

Hizo personal issues ziweke hapa.

Kisha uzungumze namna gani kutokuwepo kwa hizo personal issues kati yao kunamfanya Mwaka awe msafi.

Naomba uthibitishe makosa anayodhibitiwa nayo Mwaka yako katika Msigwa na wengineo ili tuone double standard.

Vinginevyo, fanya kazi yako uliyosomea uliyo na utaalam nayo, uwaache wengine wafnaya kazi zao. Siyo kila mtu ni mwamuzi.
 
personal issues weka wazi vinginevyo andiko lako linakosa mashiko
Habari ingekuwa 'bonge' la habari kama hizo 'personal issues' zingejulikana
We Amalinze, chanzo cha bifu kiko wapi?
Hebu jipange upya na huu uzi wako.
Ushaambiwa kwamba Kigwa ana Chuki Binafsi na Mwaka,Simtetei Mwaka hata kidogo afungiwe tu kwa kukiuka taratibu za kiserikali,ila Kigwa kwanini anakomaa na Year tu? Mbona Taasisi 6 zimefungiwa including Mwaka na wanafanya bizness chini kwa chini lkn Kigwa kamkomalia mwaka tu na ndio maana gazeti likaingia chimbo na kupata undani wa issue kwamba ni personal issue tu.
 
Habari wana JF,

Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.

Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.

My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.
Is this news or crap?
Katumwa huyo
 
Sigwa amefungiwa lakini naye anaendeleza biashara chini kwa chini na matangazo yake yanaendelea kurushwa hewani kama Mwaka na jana jioni nimelisikia tangazo la Sigwa,Inakuwaje Dr. Kigwa amkomalie sigwa tu wakati walionyang'anywa (Waliofutiwa) leseni wapo kama sita hivi?
Sidhani kama anaendelea na hiyo kazi yake ila kuhusu matangazo yawezekana yapo recorded na redio bado wana mkataba na hawajapata taarifa rasmi ya kufungiwa kwake ndio maana labda wanaendelea kuyacheza hayo matangazo yake,lakini naamini naye atafikiwa tu kama anabishana na serikali
 
Source ya habari yako?!ondoa upuuzi wako kama hauna source ya kuaminika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom