Chanzo cha Beef la Dr. Kigwangalla na Tabibu Mwaka hadharani

Chanzo cha Beef la Dr. Kigwangalla na Tabibu Mwaka hadharani

Status
Not open for further replies.
Safi mkuu, angetoa ushaidi walisoma shule gani au chuo gani, chanzo cha bifu lao. Maana tunajua Mwaka ni darasa la Saba. Kaenda China kuchukua kozi ya wiki mbili ndio akajiita Dr Mwaka. Mwanzo alikuwa muuza mitumba pale ilala
Mwaka amesoma O'level Ununio secondary school 1991 - 1994

Baadae akajiunga na masomo ya IT,

Hakuishia darasa la saba na wala hajawahi kusoma A 'level
 
Kwa mujibu wa gazeti gani?Mtoa mada unazingua.
Chanzo cha beef kiko wapi? [emoji20][emoji20]
Nifah na ukitaka kujuwa mleta mada anastahili hata bann,anasema beef la Juma Mwaka na Dr Kigwangala ni la kidato cha Tano na cha Sita.
Wakati ukweli ni kuwa Juma Mwaka anasema alisoma Kigoma Secondary(Hatuna ushahidi) na Dr Kigwangala alisoma hapo Kigoma Sec(Ushahidi upo).
Kidato cha Tano na Cha Sita,Dr Kigwangala kasoma Shy-Bush(PCB),na huyu Juma Mwaka hajawahi kukanyaga kuta za Form Five na Six hapo Shy Bush,sasa hilo beef walilianzia wapi?Kuna maamuzi Mawaziri wanafanya vizuri,ila bado kuna upinzani wa watu ambao unaingizwa na siasa kwa ndani.

Huyu Juma Mwaka ni tapeli,hii njia anayotumia kujitetea kwa kuwachafua watu itamghalimu zaidi,atafute tu kazi nyingine,maisha ya ujanja ujanja hayana nafasi...
 
Mwaka hakwenda shule hiyo form six ameipatia wapi?nashangaa watu wanamwita Doctor,watu wanafikiri kuitwa Doctor ni rahisi rahisi tu...nafikiri aitwe Mganga Mwaka
Lakini hata doctor kwa kiswahili anaitwa mganga pia, Mfano mganga mkuu wa halmashauri ya ilala, mganga mfawidhi wa kituo cha afya sinza nk
 
Mkuu samahani hembu nikumbushe muuza mitumba wa pale Ashanti Ilala Bwana Mwaka alisoma shule gani kidato cha sita..baada ya hapo nitaendelea kuchangia huu uzi kwa hamasa kubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Unaundugu nini na huyo Mwaka mbona unamtetea wazi wazi fungukaaaa mbona unajiuma uma
 
Daah urafiki na uadui umetenganishwa na mstari mwembamba sana!!!!!
 
Mwaka amesoma O'level Ununio secondary school 1991 - 1994

Baadae akajiunga na masomo ya IT,

Hakuishia darasa la saba na wala hajawahi kusoma A 'level
Mkuu,Mimi nilimsikia kwa masikio yangu huyu Juma Mwaka akisema amesoma shule moja na Dr Kigwa pale Kigoma Secondary!!
Sasa hii ya Ununio Sec ya wapi tena?Na jinsi alivyokuwa anaeleza si kwamba wanafahamiana persé,bali kwa kupitia CV ya Kigwa,Juma Mwaka aligundua kuwa na Kigwa ni "Schoolmate" wake.Hakuna ukweli wowote kuwa hawa watu waliwahi kukaaa pamoja darasani...Huyu Mwaka hata Five na Six hajagusa!!Aache ujanja ujanja!Watu wakimfungia safari hata hiyo kampuni itapotea.
Ukitaka kumfahamu Juma Mwaka vizuri,nenda Maskani ya Ashanti United pale Soko la Mitumba Ilala,Opposite na ofisi za CCM Wilaya ya Ilala...Pale Maskani ya Ashanti wamejaa Wamanyema na hata "goli" la Juma Mwaka alilokuwa anauzia mashuka na vitenge kutoka kwao Kigoma bado lipo.
Juma Mwaka kaleta sana vile vitenge vilikuwa vinaandikwa "Bujumbura" vina picha ya Kiboko (mnyama) ameachama mdomo.Sasa kama Maskani ya Ashanti United ndio Shinyanga Secondary kwenye kidato cha 5 na 6 sawa...
 
Mbona hujaeleweka au wewe ndo Dr mwaka mwenyewe weka ushahidi ili kuondoa sintofahamu
 
Habari wana JF,

Kwa mujibu wa gazeti hawa jamaa walisoma wote shule moja kidato cha sita na wakawa na ukaribu sana hadi wa familia.

Chanzo kinasema hawa jamaa wakaja kutofautiana kwa personal issue hivyo ukaribu ukafa kabisa.

My Take: Kitendo cha Kigwangalla kumkomalia Mwaka wazi wazi na kuwaacha kina Sigwa et al ni wazi kinaonyesha kwamba wana Beef waziwazi,Siungi mkono Tabibu mwaka anavyoendesha kijanjajanja Taasisi yake na pia siungi mkono Dr Hamis kuweka personal issue kwenye mambo ya Taifa.

Bila shaka walikuwa wanagombania demu
 
Nifah na ukitaka kujuwa mleta mada anastahili hata bann,anasema beef la Juma Mwaka na Dr Kigwangala ni la kidato cha Tano na cha Sita.
Wakati ukweli ni kuwa Juma Mwaka anasema alisoma Kigoma Secondary(Hatuna ushahidi) na Dr Kigwangala alisoma hapo Kigoma Sec(Ushahidi upo).
Kidato cha Tano na Cha Sita,Dr Kigwangala kasoma Shy-Bush(PCB),na huyu Juma Mwaka hajawahi kukanyaga kuta za Form Five na Six hapo Shy Bush,sasa hilo beef walilianzia wapi?Kuna maamuzi Mawaziri wanafanya vizuri,ila bado kuna upinzani wa watu ambao unaingizwa na siasa kwa ndani.

Huyu Juma Mwaka ni tapeli,hii njia anayotumia kujitetea kwa kuwachafua watu itamghalimu zaidi,atafute tu kazi nyingine,maisha ya ujanja ujanja hayana nafasi...
Mkuu nasubiri mmalize wote kumfafanua huyu mbabaishaji Mwaka afu mie nitakuja kumfungia kazi..Makala yake naimalizia hapa kwa umakini mkubwa na mifano hai
 
Hii ndo jf, tunataka ushahidi kuntu na wa kupimika, sio uasilishwaji wa udaku kama fb na whatsApp
#jf 'the home of great thinkers!
 
Dokta year ni taperi tu, mi mke Wangu ametumia sana dawa zake bila mafanikio, kaenda hospital ndio kidogo ndio kuna ahueni,,kwa gharama sasa ni balaa huyo dokta Year
Dozi inaanzia laki nne ma.ma.ee
 
kaka shikamoo, habari za siku nyingi
hahaahhaah ziko powa unesikia kuna mtu kaleta mada kuwa Israel wamegundua kifaa cha kutambua magaidi?

sasa utata utakuja kwa wale wanausalama ambao wapo kwenye idara ya assassination hawawezi kutambuliwa kama magaidi?
 
Dozi inaanzia laki nne ma.ma.ee

Yule jamaa ni taperi,mi nashangaa wanaomkatisha Tamaa MH.KIGWANGALA kupambana na mataperi,,,,,,kibaya zaidi wake zetu hata uwaambie vp hawakuelewi kuhusu huyo dokta year,,mpaka wakimaliza miezi bila mafanikio ndio akili inawakaa sawa nakukubari mwende hospital
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom