BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Lol mnangaliaga channel ten kumbe?
Wewe unaangalia nini Yo Yo? Gtv au DStv? Halafu huna local channels hata moja?
Lol mnangaliaga channel ten kumbe?
local channel nyingi hazina mvuto pumba nyingi.....ITV ndio hao dak 20 mengi anamjibu rostam matangazo mabayaaaa...yemepaukaa watangazaji hawavutii..unajua tv personalities lazima wavutie wawe wakali.....Wewe unaangalia nini Yo Yo? Gtv au DStv? Halafu huna local channels hata moja?
local channel nyingi hazina mvuto pumba nyingi.....ITV ndio hao dak 20 mengi anamjibu rostam matangazo mabayaaaa...yemepaukaa watangazaji hawavutii..unajua tv personalities lazima wavutie wawe wakali.....
.....watangazaji wa tv za bongo wanene mpaka mashavu..hawavutii....sasa utategemea nikae nimuangaliamaimatha kweye tv?
aah kaja ishay sesay mpaka muungwana kajiuma uma na kutoa jiwe na tanzanite....True, personality ina uzito kwenye hiyo sekta ya utangazaji. Huyo maimatha,unaweza kuhisi jini mweupe na mapowdaa yake!. mtoto anajikandika mekapu sijapata kuona,anaweza kupunguzia hata watu 10 jinsi anavyokandika.
Heri yako usiyeangalia hii michanel kama 10,hata husikii raha kuwa na tv!
Matangazo ndo yanawapa mshiko lakini jinsi ya kutangaza kama ndo hiyo no kwakweli!..
NI somebody Ernest Kawau?? Mchaga mmoja hivi yupo pale Ch 10. Actually that is just symbolizing the incompetence of some of the existing media houses in Tz. Nakumbuka kwenye game ya Chelsea na Barca secong leg ya CL walituwekea/walichomeka mechi ya Arsenal na Liverpool miaka ya 80 katikati ya mtanange kama dk 2 nzima, ilikuwa kioja!!!!!!Huyu sie Eprhaim Kibonde atakuwa yule BONGE wa Channel 10... simkumbuki jina...
Hivi hakuna watu walioenda shule wakapewa hizi kazi? This advert should never have been created achilia mbali kutangazwa, absolutely zero professionalism.
aah kaja ishay sesay mpaka muungwana kajiuma uma na kutoa jiwe na tanzanite....
shori kama isha akinihoji lazima nimwage mapoint...... kitu kama kile kikuhoji alafu umwage mipumba unakuwa hujamtendea haki
Kuna mambo mawili katika hili 1. Ni utoto!!! atakayebisha na abishe kwani mimi huwa nawafuatilia sana watangazaji hao hasa yule bonge ambaye mpira ukiisha tu utaona anamtaja rafiki yake yeyote kumkumbusha mpambano ulivyokuwa kama timu yake( huyo rafiki yake au jamaa imeshindwa au kushinda) hivyo kuifanya tv kama ni ya mawasiliano ya watu wawili tu au wa mtaa fulani tu,Mfano utakuta anasema " nafikiri bwana ngonyani popote ulipo umefurahi sana kwa ushindi huu wa man U au Chersea" mimi nafikiri huu ni utoto kabisa. 2. Elimu ya utangazaji imekosekana ndio maana wanacommit makosa ya kijinga sana ambayo mwanataaluma hawezi kuyafanya.
yule jamaa shotii hovyo kabisa kuna siku after time kipindi kizima alikuwa anatuma salamu....Mama saada wa sinza utakuwa na furah kwa arsenal kumtungua man u......najua iddi janguo unaangalia mpira saa hivi.....leo najua abdalah mwaipaya hutalala kwa ushindi.....bila kumsahau DJ fast eddy mabolingo lazima uyacheze leo...... alafu anakupa tena......Mama Saada nimepokea SMS yako(huku anatoa simu mfukoni kusoma sms) hongera kwa bao la kupewa.....Kuna mambo mawili katika hili 1. Ni utoto!!! atakayebisha na abishe kwani mimi huwa nawafuatilia sana watangazaji hao hasa yule bonge ambaye mpira ukiisha tu utaona anamtaja rafiki yake yeyote kumkumbusha mpambano ulivyokuwa kama timu yake( huyo rafiki yake au jamaa imeshindwa au kushinda) hivyo kuifanya tv kama ni ya mawasiliano ya watu wawili tu au wa mtaa fulani tu,Mfano utakuta anasema " nafikiri bwana ngonyani popote ulipo umefurahi sana kwa ushindi huu wa man U au Chersea" mimi nafikiri huu ni utoto kabisa. 2. Elimu ya utangazaji imekosekana ndio maana wanacommit makosa ya kijinga sana ambayo mwanataaluma hawezi kuyafanya.
Sasa sijui tuseme "Warembo wa Old Trafford" wamepigwa talaka mbili mbele za za familia zao?Kama kuna kitu kinachokera kuelekea fainali ya mabingwa ulaya mwaka huu ni matangazo yaliyotolewa na yanayotolewa na kituo cha TV cha Channel ten.
Licha ya kuonyesha unazi wa wazi kwa timu mojawapo 'MAN U' na kuitabiria ushindi hatimae kuchukua ubingwa, maneno yanayotumika katika matangazo hayo hayana ustaarabu hata kidogo!!
Mfano kusema Man U itawasambaratisha vijana "wenye sura nzuri wa arsenal". Leo hii wameibuka na tangazo linasema "baada ya kuwaoa na kuwapiga talaka tatu warembo wa arsenal mbele ya wake zao na familia zao MAN UNITED imepeleka posa BARCA".
Hivi kweli kauli hizi za matusi hazikupaswa kuepukwa na kituo kikubwa kama Channel ten? Nina imani hata kituo cha tv cha MAN TV kule UK hakiwezi kutangaza kauli kama hizi!! Nadhani hata mashabiki wastaarabu wa MAN United wameshaona tatizo la matangazo haya.
Tumesikia kuwa mafisadi papa wamekinunua kutuo hiki, nadhani hata wao wasingependa watangazaji watumie unazi na maneno machafu kwenye matangazo yanayolipiwa na wadhamini wastaarabu.
WANAHABARI MSIWE MANAZI WAZI WAZI
Sasa sijui tuseme "Warembo wa Old Trafford" wamepigwa talaka mbili mbele za za familia zao?
Ushabiki wa namna hii umewaumbua Channel 10... Yako wapi majigambo na tambo zao?!?
Tangu Somaiya awanunue hamwendi inavyotakiwa, jiangalieni...