Channel Ten (Tz): Ushauri wa BURE

Wewe unaangalia nini Yo Yo? Gtv au DStv? Halafu huna local channels hata moja?
local channel nyingi hazina mvuto pumba nyingi.....ITV ndio hao dak 20 mengi anamjibu rostam matangazo mabayaaaa...yemepaukaa watangazaji hawavutii..unajua tv personalities lazima wavutie wawe wakali.....

.....watangazaji wa tv za bongo wanene mpaka mashavu..hawavutii....sasa utategemea nikae nimuangalia maimatha kweye tv?
 
local channel nyingi hazina mvuto pumba nyingi.....ITV ndio hao dak 20 mengi anamjibu rostam matangazo mabayaaaa...yemepaukaa watangazaji hawavutii..unajua tv personalities lazima wavutie wawe wakali.....

.....watangazaji wa tv za bongo wanene mpaka mashavu..hawavutii....sasa utategemea nikae nimuangaliamaimatha kweye tv?

True, personality ina uzito kwenye hiyo sekta ya utangazaji. Huyo maimatha,unaweza kuhisi jini mweupe na mapowdaa yake!. mtoto anajikandika mekapu sijapata kuona,anaweza kupunguzia hata watu 10 jinsi anavyokandika.
Heri yako usiyeangalia hii michanel kama 10,hata husikii raha kuwa na tv!
Matangazo ndo yanawapa mshiko lakini jinsi ya kutangaza kama ndo hiyo no kwakweli!..
 
aah kaja ishay sesay mpaka muungwana kajiuma uma na kutoa jiwe na tanzanite....
shori kama isha akinihoji lazima nimwage mapoint...... kitu kama kile kikuhoji alafu umwage mipumba unakuwa hujamtendea haki
 
Hivi hakuna watu walioenda shule wakapewa hizi kazi? This advert should never have been created achilia mbali kutangazwa, absolutely zero professionalism.
 
Huyu sie Eprhaim Kibonde atakuwa yule BONGE wa Channel 10... simkumbuki jina...
NI somebody Ernest Kawau?? Mchaga mmoja hivi yupo pale Ch 10. Actually that is just symbolizing the incompetence of some of the existing media houses in Tz. Nakumbuka kwenye game ya Chelsea na Barca secong leg ya CL walituwekea/walichomeka mechi ya Arsenal na Liverpool miaka ya 80 katikati ya mtanange kama dk 2 nzima, ilikuwa kioja!!!!!!
 
mtangazaji sio ephraim msimpakazie........ni yuleyule anaepresent kipindi wakati wa match sijui anaitwa nani nimemsahau
 
...halafu another thing....kwa standards za channel ten mi sishangai sana. Mimi ni shabiki wa Man U na niliposikia hili tangazo nilishtuka.....hawa watu kwanye hii station wengi wanaonekana wababaishaji im sorry to say....it doesnt seem kama kuna uangalizi wa aina yoyote.....wengi wanaofanya pale you wonder where they went to school....hawana wasimamizi makini seems like kila mtu anafanya anachotaka yaani its very sad......hii ni channel inatoa airtime kwa vipindi sometimes najiuliza vina watazamaji kweli? Mimi huwa nafuatilia kipindi chao kimoja kinaitwa "until my last breath". Kipindi hiki inapotokea kuna mpira huwa hawakileti....maana muda unaingiliana. I have no problem with that. Tatizo langu ni baada ya mipira kuisha si mtu unakuwa na matarajio kwamba kipindi kitaendelea pale kilipoishia? Ah wapi.......hawa jamaa wa channel ten watakurudisha tena nyuuuuuma.....yaani its really stupid....sad part ni kuwa hakuna anayenotice or if they do nobody cares....it has happened more than once and frankly im just fed up with the station.........
 
Hivi hakuna watu walioenda shule wakapewa hizi kazi? This advert should never have been created achilia mbali kutangazwa, absolutely zero professionalism.

Mimi nilisema wale watangazaji wote na bosi wao Hamza Kasongo hawana akili ndio maana hata siku moja pamoja resources hilo kituo lao litaendelea kuwa la kis*&$. Mtu aliyekwenda shule akifika hapo watamfanyia majungu hadi aondoke au mwenyewe anaweza kushindwa ku cope na huo us#** wao.
 
aah kaja ishay sesay mpaka muungwana kajiuma uma na kutoa jiwe na tanzanite....
shori kama isha akinihoji lazima nimwage mapoint...... kitu kama kile kikuhoji alafu umwage mipumba unakuwa hujamtendea haki

Taib sheikh..weye wajua kulenga..
 
Kuna mambo mawili katika hili

1. Ni utoto!!! atakayebisha na abishe kwani mimi huwa nawafuatilia sana watangazaji hao hasa yule bonge ambaye mpira ukiisha tu utaona anamtaja rafiki yake yeyote kumkumbusha mpambano ulivyokuwa kama timu yake( huyo rafiki yake au jamaa imeshindwa au kushinda) hivyo kuifanya tv kama ni ya mawasiliano ya watu wawili tu au wa mtaa fulani tu,Mfano utakuta anasema " nafikiri bwana ngonyani popote ulipo umefurahi sana kwa ushindi huu wa man U au Chelsea" mimi nafikiri huu ni utoto kabisa.

2. Elimu ya utangazaji imekosekana ndio maana wanacommit makosa ya kijinga sana ambayo mwanataaluma hawezi kuyafanya.
 
Kuna mambo mawili katika hili 1. Ni utoto!!! atakayebisha na abishe kwani mimi huwa nawafuatilia sana watangazaji hao hasa yule bonge ambaye mpira ukiisha tu utaona anamtaja rafiki yake yeyote kumkumbusha mpambano ulivyokuwa kama timu yake( huyo rafiki yake au jamaa imeshindwa au kushinda) hivyo kuifanya tv kama ni ya mawasiliano ya watu wawili tu au wa mtaa fulani tu,Mfano utakuta anasema " nafikiri bwana ngonyani popote ulipo umefurahi sana kwa ushindi huu wa man U au Chersea" mimi nafikiri huu ni utoto kabisa. 2. Elimu ya utangazaji imekosekana ndio maana wanacommit makosa ya kijinga sana ambayo mwanataaluma hawezi kuyafanya.

...Ukiacha mpira, hivi mmeishawasikiliza watangazaji wa kituo hicho wanavyotafsiri magazeti ya kiingereza kwenye taarifa zao za habari asubuhi? Ni vituko na ndipo unapogundua kwamba kazi za Bongo ni who you know na sio what you have on the head!! Kuna muandishi aliishawahi kuwasema vizuri sana kwenye gazeti la Raia Mwema ingawa hakutaja jina la kituo lakini aliponukuu tafsiri walizosoma nikajua tu anazungumzia kituo hicho kwa vile na mimi nilizisikia!! Imagine taarifa ya habari ya asubuhi muandishi kutafsiri 'Curtains fall on Dowans' inayomaanisha 'Dowans yafikia tamati' kuwa ni 'Jumba bovu lawaangukia Dowans!!!!
 
Kuna mambo mawili katika hili 1. Ni utoto!!! atakayebisha na abishe kwani mimi huwa nawafuatilia sana watangazaji hao hasa yule bonge ambaye mpira ukiisha tu utaona anamtaja rafiki yake yeyote kumkumbusha mpambano ulivyokuwa kama timu yake( huyo rafiki yake au jamaa imeshindwa au kushinda) hivyo kuifanya tv kama ni ya mawasiliano ya watu wawili tu au wa mtaa fulani tu,Mfano utakuta anasema " nafikiri bwana ngonyani popote ulipo umefurahi sana kwa ushindi huu wa man U au Chersea" mimi nafikiri huu ni utoto kabisa. 2. Elimu ya utangazaji imekosekana ndio maana wanacommit makosa ya kijinga sana ambayo mwanataaluma hawezi kuyafanya.
yule jamaa shotii hovyo kabisa kuna siku after time kipindi kizima alikuwa anatuma salamu....Mama saada wa sinza utakuwa na furah kwa arsenal kumtungua man u......najua iddi janguo unaangalia mpira saa hivi.....leo najua abdalah mwaipaya hutalala kwa ushindi.....bila kumsahau DJ fast eddy mabolingo lazima uyacheze leo...... alafu anakupa tena......Mama Saada nimepokea SMS yako(huku anatoa simu mfukoni kusoma sms) hongera kwa bao la kupewa.....

.......alafu kuna siku alikuwepo studio yeye,michuzi na nick ngonyani kama sijaksea.....ilikuwa aibu...michuzi sio analyst wa mpira anajua liverpool na yanga basi.....ilikuwa aibu sana

....alafu ukibadili channel unakutana na vichwa vya super spoti kama Thom mlambo...sasa kwanini uendelee kuangalia uchafu wa channel 10....kwanza studio yenyewe haina AC wanatoka jasho balaa
 
Hawa wapumbavu waliotoa hili tangazo sijui watjificha wapi baada ya matokeo ya leo? Manake ni kama vile aliyemuoa Arsenal naye kapata bwana sasa na kaolewa! IdiXts!
 
Kama kuna kitu kinachokera kuelekea fainali ya mabingwa ulaya mwaka huu ni matangazo yaliyotolewa na yanayotolewa na kituo cha TV cha Channel ten.

Licha ya kuonyesha unazi wa wazi kwa timu mojawapo 'MAN U' na kuitabiria ushindi hatimae kuchukua ubingwa, maneno yanayotumika katika matangazo hayo hayana ustaarabu hata kidogo!!

Mfano kusema Man U itawasambaratisha vijana "wenye sura nzuri wa arsenal". Leo hii wameibuka na tangazo linasema "baada ya kuwaoa na kuwapiga talaka tatu warembo wa arsenal mbele ya wake zao na familia zao MAN UNITED imepeleka posa BARCA".

Hivi kweli kauli hizi za matusi hazikupaswa kuepukwa na kituo kikubwa kama Channel ten? Nina imani hata kituo cha tv cha MAN TV kule UK hakiwezi kutangaza kauli kama hizi!! Nadhani hata mashabiki wastaarabu wa MAN United wameshaona tatizo la matangazo haya.

Tumesikia kuwa mafisadi papa wamekinunua kutuo hiki, nadhani hata wao wasingependa watangazaji watumie unazi na maneno machafu kwenye matangazo yanayolipiwa na wadhamini wastaarabu.

WANAHABARI MSIWE MANAZI WAZI WAZI
Sasa sijui tuseme "Warembo wa Old Trafford" wamepigwa talaka mbili mbele za za familia zao?

Ushabiki wa namna hii umewaumbua Channel 10... Yako wapi majigambo na tambo zao?!?

Tangu Somaiya awanunue hamwendi inavyotakiwa, jiangalieni...
 
Wehu hao, nashangaa sana hata huyo fisadi aliyenunua akili zake zipo sawasawa. Kuna baadhi ya mechi za UEFA walikuwa wanatangaza kuwa ni live kumbe wapo nyuma dk 35.Siku moja dstv walinikatia huduma nikaona sio taabu ngoja niangalie chanel 10 mechi, wakiwa akina dr liki na wale wapuuzi wanaongea ujinga wao kumbe mechi ilikwisha anza long time na sisi tunawasikiliza, nilipewa final score dk ya 50 nikaona upuuzi nakaenda zangu kulala hadi leo sijaangalia tena hiyo station.
 
huyo jamaa anaitwa dativas mango, aka gomba gomba, ni mtangazaji mzuri wa siku nyingi na ndo production manager wa magic fm, amekaa muda mrefu africa media group na nadhani amezoea kazi
 
siku zote kauli za kiswahili zina maana
wanasema ukiona mwenzako akinyolewa wewe tia maji

nyingine nasikia wanasema usitukane mamba kabla hujavuka mto

kazi kwao

wanaongea saaaaaaaaaaaana

hapa home hakuna ushindani hata kidogo ungekuta channel 10 inaangaliwa tuu pale kwenye jengo lao la chumba kimoja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom