Channel Ten (Tz): Ushauri wa BURE

Yule kijana alietoa tangazo lile, jana kwenye Luninga alikuwa amelowa kabisa na jicho kumuiva! Naona hata Dk LIKI alimgundua akawa anapooza kiaina hivi!
 
huyo jamaa anaitwa dativas mango, aka gomba gomba, ni mtangazaji mzuri wa siku nyingi na ndo production manager wa magic fm, amekaa muda mrefu africa media group na nadhani amezoea kazi

Bongo lala huyo jamaa si mtangazaji mzuri hata kidogo labda kwa upuuzi ndio maana hao wapuuzi wenzake wamempa na uprodakhseni meneja.Sina uhakika kama hata alipitia ngumbaru.
 
...Halafu bado waliendelea na ushamba wao wa kutajana majina! katika hili angalau Dr Liki aliwazidi busara kidogo maana yeye hakushindana kutaja majina ya washikaji zake kama vile ni wao tu waliokuwa wanaangalia mechi ile!!
 
Bongo lala huyo jamaa si mtangazaji mzuri hata kidogo labda kwa upuuzi ndio maana hao wapuuzi wenzake wamempa na uprodakhseni meneja.Sina uhakika kama hata alipitia ngumbaru.

Amepewa kwasababu chanel 10 zima anajuwa kingereza kuliko wenzake:confused:
 
Tatizo mashabiki wa Man wanachonga sana ndo maana wanakosa nidhamu. Si afadhali hao channel wameamua kuonyesha wazi mapenzi yao, mi nakwambia ingekuwa kipindi cha mapenzi ya simba na yanga basi ushindi wa barca wangechinjana wengi tu. Channel Ten wasameheni tu kwani hiyo ndo true image ya Man fans. Let's be tolerant to them and all loud mouth fans of Man U.
 
Kwa kweli kama timu ya Channel Ten (MAN U) ingechukua ubingwa wa ulaya matusi yangekuwa zaidi ya hapo. Mpira ulipoisha watangazaji wale walikuwa kama wameloweshwa chepechepe na kujikuta wakijadili kipigo cha man u badala ya kujadili football ya siku ile!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom