Wamefanya la maanaNimeshangazwa na kitendo cha TV hiyo asubuhi ya leo iliyopo katikati ya jiji kusoma magazeti 3 tu, Habari Leo, Uhuru na Daily News.
Hivi inawezekana kwa location walipo pale mtaa wa Jamuhuri/ Zaramo kuyakosa magazeti mengine au ndio wameshashikwa pabaya?!