Channel ten inasoma magazeti elekezi tu!

uranium

Member
Jun 18, 2013
77
40
Nimeshangazwa na kitendo cha TV hiyo asubuhi ya leo iliyopo katikati ya jiji kusoma magazeti 3 tu, Habari Leo, Uhuru na Daily News.

Hivi inawezekana kwa location walipo pale mtaa wa Jamuhuri/ Zaramo kuyakosa magazeti mengine au ndio wameshashikwa pabaya?!
 
Wamefanya la maana
 
Back
Top Bottom