Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,435
- 113,444
Wanabodi,
Kwanza natoa pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dr. John Pombe Magufuli, kukinusuru kituo cha TV cha Channel Ten, kuwa chini ya CCM, na kwa vile mimi ni mwana habari, naelewa fika fedha za kuinusuru Channel Ten, zinatoka wapi, hivyo natoa wito kwa uongozi wa Channel Ten, kwa kuwapa ushauri wa bure kuwa japo TV hiyo inamilikiwa na CCM, lakini kwa vile ni chombo cha habari za umma, bado wanapaswa kuzingatia professionalism latika kupanga vipaumbele vya news zao kwa mujibu wa Newsworthyness za kihabari kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa, ndipo CCM ifuatie.
Leo katika taarifa yake ya habari ya saa 1:00 usiku, habari ya kwanza ni Maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, yaliyoandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere cha UDSM, insert ni Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru.
News ya pili ni kujiandikisha kwa Dr. Bahiru uchaguzi wa serikali za mitaa, insert ni Dr. Bashiru akiongea.
News ya tatu ni Dr. Bashiru akitembelea mahali kisha ikawekwa tena insert ya Dr. Bashiru!.
Yaani news items tatu, ndani ya bulletin moja, zote zikimuonyesha KM Dr. Bashiru na kuweka inserts zake consecutively, what sort of professionalism is this?.
Baada ya hizo news tatu za Dr. Bashiru, ndipo ikaja news ya Waziri Mkuu Majaliwa!. Hata kama Dr. Bashiru ndio bosi, ndio muweke news zake tatu zikifuatana?.
Kuna baadhi ya watu, news za Channel Ten ndio first preference yetu of choice, kitendo cha kui CCMmisha Channel Tena, sasa kila kitu ni CCM tuu, kutawafanya mpoteze mvuto na kupoteza watazamaji.
Bahati nzuri nimefanya kazi news room ya Channel Ten, enzi hizo ikiwa chini ya Shabbir Dewji na Franco Tramontana, hakuna hata mara moja news ya mtu mmoja yule yule yuko kwenye news items tatu consecutively hata awe ni rais wa JMT.
The best way to do this bila ku bore watu ni splitting them and spreading them. Item moja ya insert ya Bashiru ikae mwanzo, katikati ingiza items nyingine mbili tatu kisha mrudie Bashiru, na the last iweke mwisho. Au kwa vile mna taarifa nyingi, news item ya kwanza itoke saa moja, ya pili itoke njema, ya tatu itoke kesho yake.
Naombeni sana msije kuni lebel kuwa ushauri huu its about CCM, no it's just about professionalism, nothing more, nothing less, and I apologize, if it makes you feel bad, maana kuwa critic kwa TV ya chama dola, kunaweza kuhesabiwa ni kuwa critic kwa dola!.
Paskali
Broadcast Journalists since
1990-1995, RTD
1995-1999, Channel Ten
2000-2005, TVT
From 2006 to date - Freelancer
Rejea za Profesionalism kwenye Broadcast Media.

ITV na "Morbid Curiosity", Very Unprofessional!
Wanabodi, Sio mara moja wa mbili nimekuwa nikiilalamikia ITV kwa vitendo vichache ambavyo ni kinyume cha maadili ya uandishi na utangazaji wa habari na kinyume cha haki za binaadamu, kunyume cha utu na ubinaadamu, ni udhalilishaji mkubwa wa maiti za binaadamu!. Leo kwenye taarifa yake ya habari...
www.jamiiforums.com
Kinachofanywa na ITV ni kinyume cha maadili
Preamble:Japo ITV imefanya kazi nzuri katika kuuhabarisha umma uchaguzi huu, lakini kitendo cha Mtumishi wa ITV kuvaa sare ya Chadema, hakiwezi kuachwa hivi hivi bila kukemewa!. Nakiri kuandika uzi huu kwa inpiration kutoka kwa mwana jf huyuNasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV. ITV imekuwa...
www.jamiiforums.com
Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?
Wanabodi, Declaration of Interest: mwanzisha mada ni mwandishi wa habari mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii as active media kwa zaidi ya miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu as passive media kama mwandishi/mtangazaji was kujitemea kupitia kampuni ya PPR. Serikali zote...
www.jamiiforums.com
Live News Interactive!-TBC-1 Yastahili Pongezi!. ''Hongera TBC-1" Keep it Up!
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa wanabodi ambao hupenda kupongeza pale panapo stahili pongezi as "encouragement" ili kuendeleza mazuri, na hukosoa pale panapo stahili critique kama mambo hayaendi yanavyopaswa kwa lengo la kujenga yaani "constructive criticism". Nachukua fursa hii kuipongeza...
www.jamiiforums.com
Kwanini Reginald Mengi utumia muda mrefu?
Unaishi kwa kuiga mwingine?learn behaviour
www.jamiiforums.com