Jamaa yangu wa mkoa anasema kwamba channel ten haipatikani hewani kama zamani. yaani haipo kabisa. tatizo hili ni kwa wanaotumia madish. Kama kuna mtu anajua lolote kama channel ten wamebadilisha frequency au la atujuze.
naomba kuwasilisha.
JOHNJ,
Jamii forums inasomwa dunia nzima.
Unamaanisha nini unapoongelea CHANEL TEN?
Mikoani ni wapi pia?
FUNGUA LyngSat - Lyngemark Satellite na sio kama inavyoonekana kwenye post yangu ya awali
Moja : Kama hujui ni moja kati ya tv channels ambazo zipo bongo na ni ya muhimu kwa jamii ikileta habari moto moto kwa jamii
Pili :Watu woote wenye madish kwaajili ya kuona local na international channels kwenye tv zao hawataweza kuiona labda kwa Antenna ya miba ya samaki - Sijui wazikumbuka
KILO,
Umezidi kunichanganya.
Kama ni TV muhimu kwa jamii, inakosaje garama za kubakia kwenye sattelite?
Unaniuliza mimi....??? Muulize Tramontana the owner
KILLO na NDELE,
Nani mkweli kati yenu?
Killo alisema wamekimbia kwenye sattelite,
Ndele amesema wako kwenye satelite nyingine.
Kipi ni kipi wakuu?
pia kama unadish kwako unaweza jaribu au kumtafuta fundi na akaitafuta cannel ten kwenye Telsat 10 at 76,5"E na kuingiza frequency TP 4006 V SR-FEC 1011-3/4 Na utaipata chanel ten na magic FM,pia kwa wale wenye madish yanayozunguka kusearch TV yaan yana JACK unaweza kuipata kirahisi kwani endapo umemaliza kuangalia channel tenunaweza kusearch nadish likajitwist lenyewe na kuzipata chanel za kibongo tena bila ya kuligeuza Dish manual.