Mkwekwe_mchanja
Senior Member
- Oct 16, 2020
- 153
- 171
Umeshapata chanjo?
Mimi ni Mzanaki zungumza kizanaki nikuelewe. Usiruke ruke kama umepakwa pili pili huko chuma.
View attachment 1860529
Endelea kumpambania mwambaaa makengeza macho ku mchuzi Mbowe. Huna akiliMzanaki? Damu hii?
View attachment 1860534
Hahaahaaa haa 😂😂😂😂 "He! Wewe ni Mkara? Na unataka kugombea urais?"
Usikonde mkuu hata kulikimbia kabila lako. Julius alionya tukupe tu urais hata kama wewe ni Mkara. Huna haja ya kulikimbia kabila lako.
Hiiiiii bagosha!
Umeshapata chanjo?
Mbowe aache upumbavu, ni ujinga kama nchi kuanza kuangaika na vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.
Mawazo ya hovyo sana kusema chanjo iwe ya lazima katika hili mbowe amefail kabisa chanjwa wewe na familia yako tu ya watu wengine yaache waamue wenyewe wala halihitaji kampeni
Kwani nyumbu wa cdm mkishachanjwa mnatutakia nini sisi tusiotaka kuchanjwa!!?
Ni upumbavu pia kuamini eti yule mwendakuzimu alikufa Sababu ya hivi vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.Kwana mwamba mmoja kapumzika kule Chatto alisema vizuri kuliko wewe.
Ungeenda kumwuliza akueleze leo anasema je?
Ni upumbavu pia kuamini eti yule mwendakuzimu alikufa Sababu ya hivi vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.
Kasindano kenyewe wala hakaumi sekunde kadhaa tu unatimka,badae laabda utaskia vimaumivu kwa mbali begani.Kuna watu wanaogopa kuchomwa sindano.Mijoga kweli.😝😝😝😝😝
Unataka nikupelekee HOGO ?
La makengeza mbowe halikutoshi
View attachment 1860602
View attachment 1860603
Kasindano kenyewe wala hakaumi sekunde kadhaa tu unatimka,badae laabda utaskia vimaumivu kwa mbali begani.
Second dose soon👊
Sawa mwambie makengeneza mbowe akupeleke kwa kagame na museven maana wanafanana.Mkuu achana naye huyo. Hana lolote.
Si unasikia babu wa Loliondo ana kikombe cha kutibu na kuzuia Corona?
Huku ndiko tuliko sisi ambako Museveni na bwana Kagame walishatoka na ilipobidi ilikuwa ni kwa bakora.
Kama safari zako za kigoma,njombe madaba chuna tu,To be honest siko tayari kuchanjwa.......
Kama safari zako za kigoma,njombe madaba chuna tu,
ila ukiwa unakwea pipa hiyo ni lazima sio ombi huko nje hawataki uwapelekee maradhi.