Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

You are the one who can't count.

Fucktard.

Straight to ignore list.

We meet on a common ground.

You are the one who can't count.

Fucktard!

Straight to ignore list.
 
Hivi mfano chanjo ikawa inaleta complications za kiafya kwa raia , ni nani atawajibika na maisha yao na afya (assume hizo complications ni irreversible)?!

Huwezi lazimisha mtu kuweka makitu kwenye mwili wake na hajui yataleta shida gani.

Mkiendelea kulazimisha hivi siku mtalazimisha watu kushare personal info zao au kuwalazimisha wale vyakula wasivyotumia.....

Wapi panapolazimishwa mkuu?

IMG_20210721_131455_708.jpg

Hii pia imekuwapo wazi wazi:

IMG_20210720_094159_438.jpg
 
Wapi Mbowe kasema mandatory vaccination si lazima iwe kwa watu wote?

Kama si lazima kwa watu wote Tanzania, how is that mandatory kwa Watanzania?

Na ukishaweka exemptions kwa groups fulani, whats the point ya kulazimisha wengine wasiotaka chanjo wachanjwe?
Tatizo, hausomi vyema kilichoandikwa. Unasoma tu ili mradi u-reply!

Hakuna anayelazimishwa kwa nguvu. Ila ukiamua kukataa, kuna huduma au ajira ambazo unaweza kuzikosa. Pia kuna sehemu ambazo unaweza usiruhusiwe kuingia hasa katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu.

Hiyo ni sera ambayo inakwenda kwa awamu kama ilivyo kwa nchi zingine kadhaa (usiitaje Marekani peke yake). Ndicho alichosema huyo Mbowe.

Ile video si umeileta wewe mwenyewe hapa? Au hata wewe mwenyewe haujaitazama?
 
Nimekuuliza swali wapi Mbowe kasema chanjo isiwe lazima kwa Watanzania?

Hujanionesha aliposema hivyo.

Halafu unanilaumu kwamba nakujibu bila kusoma ulichoandika.
 
Acheni ukuda wenu.
Mimi nikifa wewe unaumia nini? Lazima lazima ndio sitakufa au?

Acheni mambo ya ajabu bana. Hata wakisema leo lazima, sichanji ni bora waniue kuliko kuchanja.

Et unachanja kisa li ugonjwa la kutunga. Ujinga bana. Nikichanja then what? Sitaumwa? Sitakufa? I fear nothing to die when right time comes..
Wewe hata hujui unachoongea, kwani siku zote unapougua kwa nini waga unajitibu kwa nini usijiachie tu ufe.
 
Tatizo, hausomi vyema kilichoandikwa. Unasoma tu ili mradi u-reply!

Hakuna anayelazimishwa kwa nguvu. Ila ukiamua kukataa, kuna huduma au ajira ambazo unaweza kuzikosa. Pia kuna sehemu ambazo unaweza usiruhusiwe kuingia hasa katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu.

Hiyo ni sera ambayo inakwenda kwa awamu kama ilivyo kwa nchi zingine kadhaa (usiitaje Marekani peke yake). Ndicho alichosema huyo Mbowe.

Ile video si umeileta wewe mwenyewe hapa? Au hata wewe mwenyewe haujaitazama?
Exactly my point. Nadhani alisoma haraka haraka kunijibu.
 
Nimekuuliza swali wapi Mbowe kasema chanjo isiwe lazima kwa Watanzania?

Hujanionesha aliposema hivyo.

Halafu unanilaumu kwamba nakujibu bila kusoma ulichoandika.
Nimesema hivi, mandatory vaccination sio lazima iwe kwa watu wote (population-wide), lakini inaweza ikawa population-wide kwa kupitia awamu au hatua mbalimbali kwanza.

Yeye Mbowe amependekeza hiyo option ya pili, ukiitazama hiyo video mahali alipozungumza kuhusu "mandatory".
 
Kwa nini swali liwe mimi au wanasayansi wa Ulaya?

Where is this false dichotomy coming from?
Hebu ngoja kidogo, achana na hicho Kiingereza kwanza...

Umesema kwamba watu wanapaswa kupewa "chanjo nzuri"?

Ndiyo nakuuliza weye, huo uzuri wa chanjo unapimwa na nani?
 
Kulazimisha mtu kuchoma chanjo Sio lazima mtu ashikwe KWA nguvu, bali ni kuweka taratibu za kumfanya mtu achomwe chanjo,

Kauli ya Mh mbowe ipo sawa, utakichoma chanjo baki wilayani kwako, au mkoani kwako, hatuwezi chukulia Mambo mazito Kama CORONA Kimzaa zaaa
Kungekuwa na userious basi sasa ingetumika nguvu katika kuweka masharti ya kupambana na corona ili kudhibiti maambukizi ya corona, ila ndio kwanza serikali imeachia tu watu waambukizane na wenyewe wanasema kabisa hawatotumia nguvu watu wajikinge wenyewe.
Sasa katika mazingira kama hayo kwenda kukimbilia chanjo ndio tuseme kuna userious hapo?
 
Hao watu wanaosema chanjobiwe lazma, nchi ina watu zaidi ya milioni 60, chanjo ziko ngapi na wana uwezo wa kutoa ngapi?

Just from a practical standpoint.

Tuseme wananchi waitikie wito, wote hawa watake chanjo.

Serikali ina uwezo kuwachanja?
 
Back
Top Bottom