Changia Mabadiliko Chalinze

Changia Mabadiliko Chalinze

Wapenda mageuzi na mabadiliko ya kweli ningependa kuwashirikisha katika uchaguzi mdogo wa ubunge chalinze utakaofanyika Chalinze tarehe 6th-April 2014. Lengo kubwa ni kufikishia ujumbe wanachalinze kuwa nchi yetu haina mfumo wa kurithishana madaraka (chiefdom).
Iwapo Rais JakayaKikwete licha ya kuwa mbunge na waziri katika kipindi cha miaka 15 na rais miaka 8 sasa-wanachalinze bado wamechoka shida za maji, elimu na ardhi bado wanazo, itakuwa ajabu Ridhiwani kuweza wasaidia. Wale wanaoweza kuja Chalinze karibuni kwenye kampeni ila wale mlio mbali basi manweza kuchangia kusaidia kampeni kwa kupitia nambari hii 0765 076788 Michango yenu itawasilishwa kwa katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na - Maendeleo Tarehe 31 March 2014.
Michango hii itasaidia kuwapa elimu ya Uraia wanachalinze. Ukombozi wowote ni gharama ewe mwanamtandao jione sehemu ya mabadiliko..
Ni takuwa na weka update kwa yoyote aliyetoa kama utapenda kuficha jina kwasababu zako..nijulishe...


UPDATE:
Mungu anazidi kutubariki...
Masanilo - 20,000/= Teamo - 20,000/=


muonamambo - 30,000

ngoja na mimi nifanye mchakato nitume chochote kitu kwasababu naamini CDM itajengwa na wenye moyo, tena mioyo misafi.
 
Mwenyekiti wetu!?..yaani wewe ukimuota Yericko kuwa mwenyekitti unakuja kutangaza jf , tunasbiri uote anakuhemea tuone utakavyo kuja kututangazia...

Acha maneno ya kike wewe kule kwenye thread ya mgombea wa kalenga si mlidai yericko ndio mwenyekiti wa CDM mitandaoni? Leo yamewakuta yapi?

kwanini mmezoea uongo kiasi hiki?

You are too silly....
 
Teh teh teh, makamanda wamekimbia michango mpaka sasa imepatakana 20,000 tu, pesa ya ice cream ya junior.

daaah, mi ndo mshahara wangu wa wiki huu kaka na nautegemea kula na kila kitu alafu we unasema pesa ya ice cream? kweli mbele ya Mungu kauli hii imeniumiza sana. UBARIKIWE
 
Lakini always ninawalaumu watanzania wenzangu wanaolalamika sasa, kwani ndio hao hao waliopiga kura kwa kishindo na watafanya hivyo tena miaka michache ijayo....

Wapinzani ni watanzania tena kwa maslahi ya tanzania. Kama endapo ingekuwa ni nchi ya kidemokrasia basi naamini serikali ya mseto inawezekana.

Mchambuzi unaonaje suala la wagombea binafsi?? maana hoja yangu ipo palepale kuwa mawaziri wasiwe wabunge. kama la basi hata rais aruhusiwe kuwa mbunge kama ailivyokuwa kenya enzi za Arap Moi. alikuwa rais na wakati huohuo mbunge kwa zaidi ya miaka 40

Kumbe sanyingine zipo ee...basi tu unafnyaga makusudi
 
Back
Top Bottom