nitaomba kujua kama ushatoa utapotoa huo mchango. taarifa hii itakuwa na significance fulani kwangu kuhusu mustakabali wa nchi. hivi ni kweli ccm anaweza kuchangia ufanisi wa chama kingine? au hii ni kauli kutoka kiwanda kingine cha.....
Chadema lakuvunda tukiwachangia wanapelekea wake zao mambo gani haya waende zao bana ruzuku wanagawana kifamilia tena wanataka michango toka kwetu hii sacos sasa inakufa kabisa.
hatutaki pesa ya meno ya tembo, sembe, ufisadi hiyo pelekeni ccm...mahesabu wewe ni mkaguzi tuwekee za epa zilirudishwa ngapi na zilipeekwa wapo na kwanini..