Changamoto za ndoa

Changamoto za ndoa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,357
Reaction score
62,604
Chukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto.

Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo?

Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane?

Tupe sababu.​
 
Mtu akitaka kuvunja ndoa unamkataliaje sasa, mtu mzima umemtongoza amekubali ukamuoa sasa akaona maisha ya ndoa ni magumu na aende miaka 50 ni kitu gani kwani?

Kama ni mwana mazoezi miaka 50 unakuwa fiti kabisa bila shida na unaoa wanawake wako chungu nzima
 
Sasa kama yeye hataki tuishi pamoja utamlazimisha

Akitaka tuachane fresh tu apite kushoto
 
Kuvunjika kwa ndoa hakuna umri tajiri. Ili ndoa ifanye kazi kuna vitu lazima viwepo, na ili ndoa isifanye kazi kuna vitu lazima viwepo.
Hakuna umri sahihi wa kuvunja ndoa, sababu ndoa sio umri ni mazingira.
Kuna umri ukivunja ndoa, maisha yako yote yaliyobakia yanakuwa ni ya mateso.​
 
Chukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto.

Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo?

Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane?

Tupe sababu.​
Ndio maana kukawa na ndoa za mkataba. Alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu ni fix tu. Tukichokana kila mtu anaanza kivyake.
 
Mtu akitaka kuvunja ndoa unamkataliaje sasa, mtu mzima umemtongoza amekubali ukamuoa sasa akaona maisha ya ndoa ni magumu na aende miaka 50 ni kitu gani kwani?

Kama ni mwana mazoezi miaka 50 unakuwa fiti kabisa bila shida na unaoa wanawake wako chungu nzima
Vipi kuhusu uchumi kuyumba?
 
Back
Top Bottom