Changamoto za ndoa

Changamoto za ndoa

Ndoa inaweza vunjika muda wowote ule na ukwel ni kwamba si afya kulazimisha mtu abaki ambayr tayari ameshaona hahitaji kuendelea na wewe katika uhusiano, huwa ni hatari.

ILA USHAURI WANGU NI HUU. KAMA UNA 50 AMD ABOVE, KWAKWELI JITAHIDI KADIRI UWEZAVYO USIVUNJE NDOA. JITAHIDI JITAHID SANA.
post-divorce life is not for the weak. Tunaweza kuja kukuzika.
Huu ni ushauri kwa wanaume
 
Ni bora uchepuke kiaina na usivunje ndoa
 
Chukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto.

Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo?

Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane?

Tupe sababu.​
Kama na hatarisha usalama wako unaivunja TU!Wala usijiulize mara mbili!

Huwa inafikia mwenzi anakupa mashaka kama utakua salama mikononi mwake!!

Kuna wanawake wanatisha sana kwenye mambo Yao!Hadi unajiuliza huyu nikizeeka ntatoboa kweli kama Hali IPO hivi na sasa Bado Nina nguvu !!
 
Vipi kuhusu mgawanyo wa mali?
Mali za sisi wanaume ni afya TU plus kipato cha kujikim mahitaji!!hizo nyingine ni Mali za kampuni iitwayo familia!!
Usije shindwa kufanya maamuzi kisa mali ulizochuma kama tayari mmezaa na watoto mnao!

Ukikaa kwa umakini kabisa ukafikiria ,utagundua wanaume tunahitaji vitu vichache sana kuishi na sio hizo complications kibao!!

Watoto na mama Yao ndio wanna mambo mengi mengi lakini sisi chakula,kuvaa,pesa ya kujikimu basi!!
Ukiwaza mambo mengi ulioifanyia familia Yako na mwanamke akajua udhaifu wako ni huo atakutesa sana kupitia hayo!!Bora ajue mapema akizingua utaoa au utajikata kiaina kuliko hakikisho la mpaka kifo!!
 
Back
Top Bottom