Kwa hiyo, utavunja ndoa au mtavumiliana?67 wote mmeshazeeka na swala la cheating hakuna tena,ni kusaidiana na kupeana company,ila 50 ni very dangerous especially wanaume ndio utakuta wanaanza na videmu vya Gen Z
Mtagawana accordingly,sio issueVipi kuhusu mgawanyo wa mali?
Mtenda huwa hataki kutendewaMkuu vipi wewe haujawahi kuchepuka?
Kuna umri ukivunja ndoa, maisha yako yote yaliyobakia yanakuwa ni ya mateso.
Wengi wanakaa pamoja,cheating is very rare hiyo miaka especially wanawake,na mwanaume mara nyingi anakuwa anamtegemea mke wake emotionally and physically,nafikiri 67 hiyo miaka sex is non existent for manyKwa hiyo, utavunja ndoa au mtavumiliana?
Mtagawana accordingly,sio issue
Uzee wako utakuwa ni wa mateso sana, inabidi uanze kuandaa kijiwe cha kuwa ombaomba.Ndoa ni scam
Sina ushauri
Mkuu, chukulia una miaka 65, hapo ukivunja ndoa unaenda kutengeneza tatizo lingine la kutafuta tegemeziKama umri gani tajiri?
Mimi tayari ni mzee, sina hizo liabilities na stress. Kama hapa ninafunga shughuli zangu naenda kunywa Balimi zangu baridi, sina anayeniuliza uko wapi, uko na nani, kwanini umechelewa kurudi nyumbani.Uzee wako utakuwa ni wa mateso sana, inabidi uanze kuandaa kijiwe cha kuwa ombaomba.
Mkuu, chukulia una miaka 65, hapo ukivunja ndoa unaenda kutengeneza tatizo lingine la kutafuta tegemezi
Utakayempata uzeeni, huyo anakuja moja kwa moja kuchuma na si mapenzi, kumbuka pia uzeeni kiuchumi hakuna uzalishaji mwili, zaidi ya kutumia ulicho kikusanya ujanani.Tegemezi kivipi mkuu? Fafanua!
Mbona watu wengi tuu wanatarikiana uzeeni na maisha yanaendelea!
Kuwa mzee haina maana uvumilie ndoa inayokuumiza mkuu.
Chukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto.
Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo?
Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane?
Tupe sababu.
Utawezaje kuivumilia hiyo cheating?cheating peke yake haiwezi vunja ndoa lazima kuwe na vigezo vingine visaidizi
kama huyo mlioanzia naye ujanani mmechitiana kuna mapenzi hapo?Utakayempata uzeeni, huyo anakuja moja kwa moja kuchuma na si mapenzi, kumbuka pia uzeeni kiuchumi hakuna uzalishaji mwili, zaidi ya kutumia ulicho kikusanya ujanani.
Uzeeni ni kuvumiliana, shoo za kibabe zinakuwa hazipo
kuvumilia ni kufanyaje tuanzie hapo kwanzaUtawezaje kuivumilia hiyo cheating?
Jamaa tunaonesha changamoto moja wapo ni kukatana mshededeUzeeni ni kuvumiliana, shoo za kibabe zinakuwa hazipo