Changamoto za ndoa

Changamoto za ndoa

Utakayempata uzeeni, huyo anakuja moja kwa moja kuchuma na si mapenzi, kumbuka pia uzeeni kiuchumi hakuna uzalishaji mwili, zaidi ya kutumia ulicho kikusanya ujanani.

Sio lazima uoe mkuu, wazee wengi (wake kwa waume), wanacheki walioachika wenzao, wanasogeza maisha mbele. Ninachokataa mimi ni kwamba, ndoa ishindwe kufanya kazi, mtu ukomae nayo kisa mzee. Hii ni kwa mwanaume na mwanamke mkuu. 😊
 
Mtu akitaka kuvunja ndoa unamkataliaje sasa, mtu mzima umemtongoza amekubali ukamuoa sasa akaona maisha ya ndoa ni magumu na aende miaka 50 ni kitu gani kwani?

Kama ni mwana mazoezi miaka 50 unakuwa fiti kabisa bila shida na unaoa wanawake wako chungu nzima

Mwanaume wa miaka 50 unamjua vizuri??
Yaani kama hakuishi health life huko nyuma na hana hela kitamlamba pakubwa mnoo
 
Sio lazima uoe mkuu, wazee wengi wanakuwaga na walioachika wenzao, wanasogeza maisha mbele. Ninacholataa mimi ni kwamba, ndoa ishindwe kufanya kazi, mtu ukomae nayo kisa mzee. Hii ni kwa mwanaume na mwanamke mkuu. 😊
Kuna mzee mmoja alikuwa kikosi cha anga huko majuu, baada ya kustaafu na kurudi, mke na watoto wakamkimbia; ameachiwa nyumba mwenyewe anajipikilisha na kulalamika familia kumkimbia.​
 
Chukulia umri wako ni zaidi ya miaka 50, na tayari upo kwenye ndoa na mna watoto.

Ikitokea mwenzi wako akachepuka au akakuwekea mazingira ya kutaka kuvunja ndoa, kwako itakuwa ni afya au ni tatizo?

Na je, utakubali ndoa yako ivunjike na mtengane?

Tupe sababu.​
No comment mpaka likupate ndo utaamua unakwenda jela or chini ya aridhi now no comments
 
Mwanaume wa miaka 50 unamjua vizuri??
Yaani kama hakuishi health life huko nyuma na hana hela kitamlamba pakubwa mnoo
Kwani si kuna wanawake wengi wanataka kuolewa na wanaume 40-50?

Hapa tunaongelea kuachana, kwani Mwanamke wa miaka 50 akiachika yeye ndio anaenda wapi?

Ishu ya uchumi inatakiwa mtu ajitathimini mwenyewe kama hayuko stable anaanzaje kuwaza kuachana, kama ni sababu ya kuchapiwa hayo mambo ni kwa walio na miaka 30 mpaka arobaini na kitu hapo katikat
 
Nani kakuambia uzeeni hakuna uzalishaji, wazee wengi zaidi ya miaka 70 wanapiga pesa kuliko watoto wao na wanatunza mpaka wajukuu
Wanakula bata tu
vc.jpg
 
Back
Top Bottom