NO04
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 1,754
- 1,246
Kidogo namimi nimuulize!?Uko serious na ulichokiandika mkuu.....?
Kidogo namimi nimuulize!?Uko serious na ulichokiandika mkuu.....?
Yamekukuta nini poleWatoto wa kike ni noma sana wana wivu na wazazi wao balaa.
Body count doesn't count anymore mkuu.Umri wa mwanamke kutafuta mahusiano serious ni kuanzia 16 hadi 25. 26 hadi 30 ni kujaribisha kupata mtu serious. 30 kwenda juu huko sasa ni kutokuwa serious na maisha ya mahusiano.
Kwa watakobisha jiulize swali tu, mabinti wengi by 16 wameshavunja ungo na wapo tayari kuliwa. Hivi binti uje ukutane na mwanaume una miaka 30 , hiyo miaka ya katikati hapo (miaka 14) kama haukuwa na mtu m'moja ina maana bodycount (idadi ya wanaume umelala nao)yako itakuwa inasoma juu, unless wewe ni virgin by 30.
Mwanamke huwa anakwenda na mwanaume anayejielewa but kwa wastani amzidi umri kuanzia miaka 5 and above.
Sasa chances kwa mwanamke kukutana na mwanaume serious kwa umri above 30 asiye na mahusiano na wanawake wengine, na watoto, asiye kwenye ndoa, asie na experience za kupiga na kusepa, asie na maradhi etc mmmmmmhmn huwa ni mtihani wa usio na majibu ya uhakika.
Ila akina dada hili wanakuja lielewa umri ukienda sio wakiwa wadogo.
Kwa kweli, na kwa nini uwe single at 40 mkuu? Kuna umri mtu hutakiwi kuwa single coz unaweza hata kujitafutia maradhi hakyanani.Hakuna maisha magumu na mabaya kwa binadamu kama kua single katika age ya 40+, tena ni bora ukawa single huko ujanani na sio katika 40+ age.
Mama inategemea pia na uelewa sasa ka single mom, na ana raise mtoto father figure lazima aonee hamna umuhimu wa familia. Hafu mamako ni mwanamke tu aweza kuongozwa na hisia za kike kuliko logic na Mambo yakahatibika kabisa sasa na wewe kidume unayeongozwa na hisia bila logic it's dangerousAh labda nyie mnaotaka kujua moyo wa mtu umelalia wapi ndio najua hayo mambo ya love.
Sie wengine toka tukiwa watoto tulishapewa onyo na mama zetu....mwanamke hapendi anaangalia huduma tuu hivyo jikite katika kutafuta pesa wanawake wapo tuu.
Sio kwa uhisia ndo uhalisia ninaoshuhudia kwa jamii ya watu wanaopitia hyo changamoto na inaweza mkuta mtu yoyote tu hata wewe.Umeandika kwa hisia Sana!
Hahaaa
Anything can happen including maybe death of your partner, divorce na Mambo hayo so kuwa single can happen anytimeKwa kweli, na kwa nini uwe single at 40 mkuu? Kuna umri mtu hutakiwi kuwa single coz unaweza hata kujitafutia maradhi hakyanani.
Hadi divorce ije ujuwe mtu keshajiandaa for life after divorce. Hizo mambo za death zinaeleweka lakini sio divorce mkuu.Anything can happen including maybe death of your partner, divorce na Mambo hayo so kuwa single can happen anytime
Hakuna mwanaume asiendeshwa na hisia. Kungekuwa na mwanaume anaendeahwa na logic tuu watu wasingkuwa wana cheat au kugegeda hovyo hovyo.Mama inategemea pia na uelewa sasa ka single mom, na ana raise mtoto father figure lazima aonee hamna umuhimu wa familia. Hafu mamako ni mwanamke tu aweza kuongozwa na hisia za kike kuliko logic na Mambo yakahatibika kabisa sasa na wewe kidume unayeongozwa na hisia bila logic it's dangerous
Chochote tu hapo Kati hutokea unexpected hata hzo divorce mtu anaweza ku change mpaka uka salimu amri. So kushamgaa usingle wa watu Kuna many factors aiseeHadi divorce ije ujuwe mtu keshajiandaa for life after divorce. Hizo mambo za death zinaeleweka lakini sio divorce mkuu.
Nyinyi mnaosema kuwa hakuna haja ya mwenza ukiwa 40+ mnaelewa kuwa katika umri huu bado mbegu zinatengenezwa na zinahitaji kutoka. Ukiwa na mwenza si lazima upate penetration lakini akikushika tu anasaidia kuongeza hisia na kumaliza shughuliUkishakuwa na 40+, kwa nini uanze hangaika na mahusiano...
Huu ni muda wa kula muendelezo wa pesa uliyochuma na kuwekeza zaidi kwa ajili ya 'wananchi' uliweza jaliwa na Maulana
Huduma gani sikuhizi kila mtu anajishughulisha na life aisee sio kusema hao ma slay queen hata hvo ku slay na kuuza papa ni kazi ka kazi nyingine sasa ukienda mununuaji lazima uambiwe tu Bei.Hakuna mwanaume asiendeshwa na hisia. Kungekuwa na mwanaume anaendeahwa na logic tuu watu wasingkuwa wana cheat au kugegeda hovyo hovyo.
Suala la mwanamke kuwa na anagalia huduma na sio kupenda nadhani hili ushahidi upo tosha sana.
Najua chochote kinaweza kutokea, Ila kuchagua kuwa single at 40+ ni kujiumiza kihisia tu.Chochote tu hapo Kati hutokea unexpected hata hzo divorce mtu anaweza ku change mpaka uka salimu amri. So kushamgaa usingle wa watu Kuna many factors aisee
Watu huwa hawachagui na hutokea tu bila kupenda so wewe kuwa safe Leo doesn't guarantee you, Tena yaweza kukutokea ukiwa umeishiwa nguvu kabisaNajua chochote kinaweza kutokea, Ila kuchagua kuwa single at 40+ ni kujiumiza kihisia tu.
Siwezi kuchagua kuwa single hata siku moja, kumbuka kuna wale wanachagua kabisa kuishi single.Watu huwa hawachagui na hutokea tu bila kupenda so wewe kuwa safe Leo doesn't guarantee you, Tena yaweza kukutokea ukiwa umeishiwa nguvu kabisa
Hamna anayependa kuwa hvo Kuna issues tu hutokea I tell youSiwezi kuchagua kuwa single hata siku moja, kumbuka kuna wale wanachagua kabisa kuishi single.
Nyinyi mnaosema kuwa hakuna haja ya mwenza ukiwa 40+ mnaelewa kuwa katika umri huu bado mbegu zinatengenezwa na zinahitaji kutoka. Ukiwa na mwenza si lazima upate penetration lakini akikushika tu anasaidia kuongeza hisia na kumaliza shughuli
Why should I...Kwahiyo utafunga ndoa na kipande cha dove?
Upweke ni chanzo cha vifo vya wazee wengi wanaoishi peke yao.Why should I...
Kama ni mahusiano na mikikimikiki yake yalishafanyika kwa miaka 20+...
Fikiria tokea mtu upo 15 kwa wale wa kijijini huanza hizi mambo mapema au 18, unakimbizana na mapenzi...
Unafika muda wa kutundika daruga napo bado tu unahangaika kuanzisha mahusiano mapya...
40+ huu ndio muda wa kuacha legacy, muda ambao unakuwa umefocus kwenye vitu vichache mno