Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Binti haelewi namna mama yake anavyopelekwa kwa mparange.....

Yeye anaangalia muonekano tuu kuwa sio type ya mama ....😜.

Well, to senior parents. If you are single.

Try your level best not to show your love relationship to your child until they have their own families if you are still alive.

It’s all about your children without expecting return from them.
Hiyo ya kimombo nimeipenda sana ingawa sijui kukisoma
 
Mtoto wa sista angu (binti) aliwahi kumtoa mkuku jamaa alikua anamzengea maza ake (singo maza) kwa kumuambia kwamba haendani nae wala yeye sio type ya mama yake..
Safi kabisa. Huyo dogo ni jembe. Anajua tofauti ya mwanaume baba na mwanaume boyfriend wa mama.
 
Hivi mkuu kitaalamu, mdada mwenye 40+ anatakiwa awe na mwanaume mwenye umri gani ili asionekane wa ajabu? Maana wanaume wenye above 40 preference zao ni wadada wenye below 30. Mdada akiwa na kijana wa below 35 anaonekana anapenda dogodogo, na kijamii haikubaliki.
Umri wa mwanamke kutafuta mahusiano serious ni kuanzia 16 hadi 25. 26 hadi 30 ni kujaribisha kupata mtu serious. 30 kwenda juu huko sasa ni kutokuwa serious na maisha ya mahusiano.

Kwa watakobisha jiulize swali tu, mabinti wengi by 16 wameshavunja ungo na wapo tayari kuliwa. Hivi binti uje ukutane na mwanaume una miaka 30 , hiyo miaka ya katikati hapo (miaka 14) kama haukuwa na mtu m'moja ina maana bodycount (idadi ya wanaume umelala nao)yako itakuwa inasoma juu, unless wewe ni virgin by 30.

Mwanamke huwa anakwenda na mwanaume anayejielewa but kwa wastani amzidi umri kuanzia miaka 5 and above.

Sasa chances kwa mwanamke kukutana na mwanaume serious kwa umri above 30 asiye na mahusiano na wanawake wengine, na watoto, asiye kwenye ndoa, asie na experience za kupiga na kusepa, asie na maradhi etc mmmmmmhmn huwa ni mtihani wa usio na majibu ya uhakika.

Ila akina dada hili wanakuja lielewa umri ukienda sio wakiwa wadogo.
 
At age 40+ mtu kutafuta mahusiano ni kutokuwa serious. Unless kukosa mwenza iwe ni swala nje ya uwezo wako kama kufiwa, mwenza kuwa na akili za kitoto kukusumbua kichwa, au mengineyo. Ila kama ulikuwa busy na ujana then ufike 40+ ndio uanze kutafuta mtu serious ufanye nae maisha, huo muda Bora ukatembelee yatima, otherwise kubaliana na yoyote atakae kujia au utakae kutana nae kwa wakati huo huwezi kuchagua.
 
Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.
Kwa suala la watoto wakike kudhania kuwa mama wa kambo ni gold digger tuseme ukweli wanakuwa wapo sahihi kabisa.

Mwanamke anaangalia huduma sio kupenda. Wao ni wanawake so wanalijua hilo kabisaaaa
 
Hii situation ikinitokea at that age nakaa mwenyewe tu, sitahitaji mke tena, ni kulea wanangu tu baasi

Kupanga ni kuchagua
Watoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
 
Nadhani ni kujiendekeza tu. Kuletewa glass ndio iwe sababu ya kuoa?! Me naoa niwe na partner ila sio mtumishi wa kunihudumia......
 
Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.

Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa. Kwa kuepuka upweke wengi hutafuta mtu wa kuliwazana nae.

Mnapokutana wawili kufahamiana na kuona kama mtawezana hiki ni kipengele A cha mtihani. Kipengele B ni kukutana na watoto.

Mara nyingi watoto wa kiume hawana matatizo. Usiombe ukutane na mabinti. Kwanza watakulinganisha na mama yao au baba yao Watataka kujua unafanya kazi gani. Hapa sasa ndipo panakuja swala la U-gold digger. Wanafikiri ulimpenda baba yao au mama yao kwakua ana mali. Kumbe mwenyewe umesharidhika na maisha yako ila ni huyu baba yao au mama yao ndiye anaekuhitaji mno katika maisha yake.
Najiona kabisa nikiwa na miaka 40 HIVIHIVI single.

#YNWA
 
Umeshawahi kutana na hali hiyo? Pole sana.
 
Kwa suala la watoto wakike kudhania kuwa mama wa kambo ni gold digger tuseme ukweli wanakuwa wapo sahihi kabisa.

Mwanamke anaangalia huduma sio kupenda. Wao ni wanawake so wanalijua hilo kabisaaaa
Starehe ya wazazi Ina muhusu Nini huyo mtoto. Kuwazaa kunatosha, hata baba Yao Kuna kitu anakipata kwa gold digger we live by depending each other.
 
Maisha aisee!!Ni mwendo wa kumshuku kila mtu.Bianadamu tumezaliwa na asili ya uchoyo na ubinafsi sana iwe ni kwa mtoto au mtu mzima.Usiogope watakavyokuchukulia awali kwa sababu hauna nia ovu.Pambana usikate tamaa😂😂😂😂
We suspect everybody, even a dead body.
 
Back
Top Bottom