Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Mkuu kwa sasa unajipangia na kuamua mwenyewe bana sasa at 80 huko watafta Nini, hafu pia waweza ku adopt mtoto na kumlea pia.

Sio kweli mtoto kwa sasa unajipangia bila Mungu kupanga yeye.. mfano binafsi nina watoto mapacha na wife...since mwaka 2016 tunatafuta mtoto wa tatu ila hatujapata... najua sababu Mungu hajatupangia hado
 
Unapanga wewe kinachofata ni mkono wake tu basi ndio maana tukapewa akili. Vingi huchangia kuchelewa pia
 
Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto.

Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa. Kwa kuepuka upweke wengi hutafuta mtu wa kuliwazana nae.

Mnapokutana wawili kufahamiana na kuona kama mtawezana hiki ni kipengele A cha mtihani. Kipengele B ni kukutana na watoto.

Mara nyingi watoto wa kiume hawana matatizo. Usiombe ukutane na mabinti. Kwanza watakulinganisha na mama yao au baba yao Watataka kujua unafanya kazi gani. Hapa sasa ndipo panakuja swala la U-gold digger. Wanafikiri ulimpenda baba yao au mama yao kwakua ana mali. Kumbe mwenyewe umesharidhika na maisha yako ila ni huyu baba yao au mama yao ndiye anaekuhitaji mno katika maisha yake.

Mnapoingia kwenye mahusiano ya aina hii lazima wote wawili mkubaliane katika uwazi na ukweli kwamba;
Nyie ni kina nani? Je, ni wanandoa mliofunga ndoa rasmi au ni marafiki mnaoishi pamoja kuondoleana upweke?

Je, mmekutana kila mmoja akiwa anamiliki mali gani? Ni muhimu sababu kila mmoja anaweza kuwa na watoto wake ambao wanaweza kuwa warithi au wanàtumia hizo mali

Kunatakiwa kuwe na makubaliano iwapo mtamiliki mali mpya mkiwa pamoja umeliki wake upoje?

Ni vizuri Kila mmoja wenu kuwa na wosia na Sio mbaya kama mtaamua ku update wosia zenu kila baada ya muda kadri ya mahitaji yanavyoongezeka
 
The issue here is the children, mpaka watoto waridhie ndiyo mtaishi kwa amani. Usiombe uwadui wa watoto wa kike, umetengeneza roast ya maini unakanda chapati kuonyesha ufundi wako kwa mupenzi bibie anaongeza vijiko vitatu vya chumvi kwenye roast ya maini. Ni mkomoano tu.
 
Hivi Kasie kwanza umeishia wapi na yule jirani yako? Mmeshashiriki tendo takatifu la ibada..?😀

Naanzaje...!

Kila nikimuwaza Dadii....🥰 nashiba utamu wake.

Jirani ilikuwa kaupepo tuu kameshapita, nshafuta namba zake zote na yeye anaendelea na maisha Yake.

My Dadii is my forever man, I love him to death.
 
I love you too, mamii.

My forever woman.. till ziraili do us apart.
 
Hahaha nilitaka nikupeleke kituo fulani, ila nikataka twende hatua kwa hatua hadi kwenye hicho kituo, ndiyo tungeelewana vizuri. Wakati mwingine hatupangi kupitia njia fulani, ila hatima zetu zinatupitisha humo; Mungu ana mipango yake. Kuna watu hawakupanga kufika 40s wakiwa single or without stable families; ni maisha tu, circumstances pushed them there. Kama ambavyo wewe ulitamani baadhi ya vitu kwenye maisha yako vingetokea mapema sana, but vikaja kutokea kwa wakati mwingine; cha muhimu ni kwamba mwisho wa siku vilitokea. Even a marriage at 50 is still an accomplishment; what matters is you found love at last. Wengine hadi wanakufa hawapati hivyo vitu eti
Nakuelewa sana sis darling! Ila single by choice at 40 sio poa hata, utakufa kwa sonona hakyanani.
 
Haya maisha unakuta mtu ana 40yrs hana nyumba ati nae anataka kukuoa afu hapa hapo ndo wa kwanza kuponda wadada wanopenda mali really?

Hivi kweli miaka 40 uko unapanga chumba afu unataka kuoa? Bora hiyo ndoa niikose.
..acha kutunyong'onyesha bwana! Wakati wa bwana ni wakati sahihi, hata at 50 tutajenga.
 
..acha kutunyong'onyesha bwana! Wakati wa bwana ni wakati sahihi, hata at 50 tutajenga.
Mnaishi kwa baba kama yesu? Kuna mmoja alisema mitandaon eti yesu alikuwa na 33 anaishi kwa baba yake ati kwa nini yeye ajenge?😂😂
 
Back
Top Bottom