cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Kuishi mwenyewe ni hatari hasa watoto wakishaondoka kwenda mashuleni au kwenye kaziWatoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
