Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Brod darling nikuulize kaswali, wewe ulioa/kuanzisha familia exactly katika umri ambao ulikuwa umetamani?
Kwa kweli, na kwa nini uwe single at 40 mkuu? Kuna umri mtu hutakiwi kuwa single coz unaweza hata kujitafutia maradhi hakyanani.