Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

Kufikia hayo ya ukarimu si kwanza akupe hiyo nafasi ya kuwa naye karibu!?? Wanawake hata usipomwambia, lkn huwa wanajua tangu siku ya kwanza kuwa mwanaume atakuja kunitongoza! Ndiyo maana km hakutaki hawezi kukupa muda hata wa kumsalimia au kumsaidia chenji....
Password ya kwanza fahamu dini yake. Kama unampenda kweli ikifika Idd au Christmas nunua zawadi. Kama ni muungwana atatafuta jinsi ya kukushukuru hapa na wewe unakazia.
 
Password ya kwanza fahamu dini yake. Kama unampenda kweli ikifika Idd au Christmas nunua zawadi. Kama ni muungwana atatafuta jinsi ya kukushukuru hapa na wewe unakazia.
Duh..huo muda sasa! Anyway nitajitahidi maana kuna mama ni mjane na hata hela, lkn ananichukulia mm km mdogo wake, yaani hata Salam anataka nimwakie wakati yy ana 41 me namzidi miaka 5.
 
Duh..huo muda sasa! Anyway nitajitahidi maana kuna mama ni mjane na hata hela, lkn ananichukulia mm km mdogo wake, yaani hata Salam anataka nimwakie wakati yy ana 41 me namzidi miaka 5.
Dhaaaa
 
Ndio maana watoto wa kike huwa wanakubalianaga na yoyote maana kuwa single sio mchezo wana mashauzi wakiwa age 30 and below ila wakigonga 30+ wanakuwaga on their best behaviours ili tu wapate mtu

“Ili tu wapate mtu”
Hivyo mwanamke hawezi kuwa the best for other reasons?
 
Shost mmoja kazini yeye mwanaume alimtelekeza akiwa na watoto wawili wa kiume. Alipambana sana, hela ya nauli yao ya shule ilibidi awe anapika maandazi usiku na kuacha kapu hotelini akiwa anakwenda kazini.

Wale watoto walipofika chuo na yeye alipata mtu wa umri wake. Mwanaume ametoka kuachana na mke wake ndiyo anatafuta chumba aanze maisha.

Shost alimvuta jamaa ndani. Watoto walimshangaa mama! Aliwaambia tena mnyamaze, wote nyinyi mna ma girl friend, tangu baba yenu ameondoka mimi kila siku ninawaza sabuni, kodi ya nyumba, mboga ada, sasa mniache nipate ile raha mnayowapa ma girl friend zenu.!
Dah! inataka moyo sana, Mama moyo wake aliwekeza sana kwa watoto akajisahau hata yeye mwenyewe, Ila nyie wadada kuna wakati manajisahau sana, inapofika mwanaume anaamua kukutelekeza na watoto ujue hapo umejisahau sana.
Je waliendeleaje na huyo baba? Bado yuko na mama yao au hakudumu naye? Mahusiano ya baba wa kambo na watoto yaliendeleaje?
 
Baada ya chuo watoto walipata kazi mikoani huko, sasa hivi wanaalikwa tu kwenye sherehe za harusi za marafiki wa watoto wao. Mama anawaka wamebaki wawili tu ndani ya nyumba.
 
Watoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
Naajiri msaidizi, Me au Ke maisha yanaenda
 
Watoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
Iq yako inaonekana iko juu Sana. Mwandiko unasadifu! Libalikiwe tumbo lililokuzaa, kadhalika na mbegu iliyokutunga!
 
Ukishakuwa na 40+, kwa nini uanze hangaika na mahusiano...

Huu ni muda wa kula muendelezo wa pesa uliyochuma na kuwekeza zaidi kwa ajili ya 'wananchi' uliweza jaliwa na Maulana
 
Hivi mkuu kitaalamu, mdada mwenye 40+ anatakiwa awe na mwanaume mwenye umri gani ili asionekane wa ajabu? Maana wanaume wenye above 40 preference zao ni wadada wenye below 30. Mdada akiwa na kijana wa below 35 anaonekana anapenda dogodogo, na kijamii haikubaliki.
Mimi na mke wangu wote tumezaliwa mwaka mmoja, ninamzidi mwezi mmoja tu.
 
Kuwazaa inawatisha wasinipangie mahusiano yangu na kuyaingilia aisee, Tena washukuru nimewazaa isingekuwa Mimi wangezaliwa sehemu nyingine tu duniani hata huko USA.

Hata baba Yao kwa gold digger ndo anatolea hamu zake hapo ka wao wanavokutana na wapenzi wao huko nje na hawapangiwi why waingilie mzazi. Kuwa uyaone sio magorofa tu ya jijini loh,I have seen people with this situation aisee na usijidaganye Kuna kipindi umri ukienda huhitaji sex tu maana nguvu hamna you need shoulder to learn on
Umeandika kwa hisia Sana!

Hahaaa
 
Back
Top Bottom