Password ya kwanza fahamu dini yake. Kama unampenda kweli ikifika Idd au Christmas nunua zawadi. Kama ni muungwana atatafuta jinsi ya kukushukuru hapa na wewe unakazia.Kufikia hayo ya ukarimu si kwanza akupe hiyo nafasi ya kuwa naye karibu!?? Wanawake hata usipomwambia, lkn huwa wanajua tangu siku ya kwanza kuwa mwanaume atakuja kunitongoza! Ndiyo maana km hakutaki hawezi kukupa muda hata wa kumsalimia au kumsaidia chenji....
Duh..huo muda sasa! Anyway nitajitahidi maana kuna mama ni mjane na hata hela, lkn ananichukulia mm km mdogo wake, yaani hata Salam anataka nimwakie wakati yy ana 41 me namzidi miaka 5.Password ya kwanza fahamu dini yake. Kama unampenda kweli ikifika Idd au Christmas nunua zawadi. Kama ni muungwana atatafuta jinsi ya kukushukuru hapa na wewe unakazia.
Dhaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Duh..huo muda sasa! Anyway nitajitahidi maana kuna mama ni mjane na hata hela, lkn ananichukulia mm km mdogo wake, yaani hata Salam anataka nimwakie wakati yy ana 41 me namzidi miaka 5.
Ndio maana watoto wa kike huwa wanakubalianaga na yoyote maana kuwa single sio mchezo [emoji28][emoji28][emoji28] wana mashauzi wakiwa age 30 and below ila wakigonga 30+ wanakuwaga on their best behaviours ili tu wapate mtu
Dah! inataka moyo sana, Mama moyo wake aliwekeza sana kwa watoto akajisahau hata yeye mwenyewe, Ila nyie wadada kuna wakati manajisahau sana, inapofika mwanaume anaamua kukutelekeza na watoto ujue hapo umejisahau sana.Shost mmoja kazini yeye mwanaume alimtelekeza akiwa na watoto wawili wa kiume. Alipambana sana, hela ya nauli yao ya shule ilibidi awe anapika maandazi usiku na kuacha kapu hotelini akiwa anakwenda kazini.
Wale watoto walipofika chuo na yeye alipata mtu wa umri wake. Mwanaume ametoka kuachana na mke wake ndiyo anatafuta chumba aanze maisha.
Shost alimvuta jamaa ndani. Watoto walimshangaa mama! Aliwaambia tena mnyamaze, wote nyinyi mna ma girl friend, tangu baba yenu ameondoka mimi kila siku ninawaza sabuni, kodi ya nyumba, mboga ada, sasa mniache nipate ile raha mnayowapa ma girl friend zenu.!
Baada ya chuo watoto walipata kazi mikoani huko, sasa hivi wanaalikwa tu kwenye sherehe za harusi za marafiki wa watoto wao. Mama anawaka wamebaki wawili tu ndani ya nyumba.Dah! inataka moyo sana, Mama moyo wake aliwekeza sana kwa watoto akajisahau hata yeye mwenyewe, Ila nyie wadada kuna wakati manajisahau sana, inapofika mwanaume anaamua kukutelekeza na watoto ujue hapo umejisahau sana.
Je waliendeleaje na huyo baba? Bado yuko na mama yao au hakudumu naye? Mahusiano ya baba wa kambo na watoto yaliendeleaje?
yeah maana jamaa walimwambia watamkeketa bandama kama akikaa karibu na mama yao, halafu vijana wenyewe ni machalii wa arushaWatoto wa kiume kuwa na wivu na mama yao ni kawaida
Naajiri msaidizi, Me au Ke maisha yanaendaWatoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
Hahahhah machalii wa chuga wanae mabiti kinoma!yeah maana jamaa walimwambia watamkeketa bandama kama akikaa karibu na mama yao, halafu vijana wenyewe ni machalii wa arusha
Entensi fupi, lkn imeamusha kichwa cha chini! DuhKwann usiishi kwako then yeye awe anakuja tu kukusugua afu anasepa
Iq yako inaonekana iko juu Sana. Mwandiko unasadifu! Libalikiwe tumbo lililokuzaa, kadhalika na mbegu iliyokutunga!Watoto wataondoka wakaanze miji yao, maisha ya upweke ni mabaya sana. Umri unavyokwenda wengine wanaishi kwa msaada wa dawa za moyo na kisukari. Ukiwa na mtu wa kukuletea glass ya maji inaleta faraja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni stress tuc ndio maana nikatoa povu hilo, hapa nilipo najiskia upweke nahitaji hug na busu.Uko serious na ulichokiandika mkuu.....?
Siyo watoto wa kike tu.Watoto wa kike ni noma sana wana wivu na wazazi wao balaa.
Mimi na mke wangu wote tumezaliwa mwaka mmoja, ninamzidi mwezi mmoja tu.Hivi mkuu kitaalamu, mdada mwenye 40+ anatakiwa awe na mwanaume mwenye umri gani ili asionekane wa ajabu? Maana wanaume wenye above 40 preference zao ni wadada wenye below 30. Mdada akiwa na kijana wa below 35 anaonekana anapenda dogodogo, na kijamii haikubaliki.
Umeandika kwa hisia Sana!Kuwazaa inawatisha wasinipangie mahusiano yangu na kuyaingilia aisee, Tena washukuru nimewazaa isingekuwa Mimi wangezaliwa sehemu nyingine tu duniani hata huko USA.
Hata baba Yao kwa gold digger ndo anatolea hamu zake hapo ka wao wanavokutana na wapenzi wao huko nje na hawapangiwi why waingilie mzazi. Kuwa uyaone sio magorofa tu ya jijini loh,I have seen people with this situation aisee na usijidaganye Kuna kipindi umri ukienda huhitaji sex tu maana nguvu hamna you need shoulder to learn on