Ukijibiwa utaniambiaHivi ni upi umri sahihi akuoa?
Mpangaji ni MunguHa ha ha bado kidogo.
Unatakiwa uchelewe ili ujijenge kiuchumi+carrier na kiakili ...mixer ule bata/ujana sana uwagonge sana mpaka ukinai ndo uoe, habari za umetoka chuo tu miaka 2/3 mbele unaoa ni ufalaKwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.
Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.
Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
35+Senior bachelor inaanza ukiwa na umri gani?
32 amechelewa?!!!!Kwa umri wa 32 kiukweli hapo umechelewa sana kuoa.
Umemaliza kila kitu,yaan mwanaume uko mjini unaoa una miaka 26 sijui 28!!!!!daaah hiyo ni ndoa ya utotoniKwa apa mjini. Maliza ujana chukua mke ukiwa na miaka 40. Lakini Kama kijijini miaka 30 ndio mizuri
Sio kweli.... chunguza mkuuHuu ni mtihani. Chini ya 25 wako wengi ila ni suicide, over 25 kama hajaolewa ana mtoto.
NopSawa mrembo...wewe ni under 25?
Mhhhhh.... kupendana ni issue......... sijui kwa upande wangu kama unanifaa..Unanifaa kabisa
Mhhhhh.... interesting ehee. I dont like trial n error at this age.You never know