cataliya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 458
- 361
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Utaweza kweli........Now you are talking.
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Utaweza kweli........Now you are talking.
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
Ha ha ha.Nikisoma vigezo ndio nitajua,hakuna linaloshindikana.
MuoaneWewe...huyu Pacha wangu.
Huo upacha vunjeni.Ndugu tuoane?!!
Mhhhhh.... interesting ehee. I dont like trial n error at this age.

Wanaoelewa wanaelewa, wanaojua wanajua tuuu.... baki hivyo hivyo...Mambo ya kuuziwa gazeti jioni ni nani anataka?![]()
Not to that extent

Kwani Khantwe anasemaje?Not to that extent
Sio kweli.... chunguza mkuu
Sawa mrembo...wewe ni under 25?
Nop
Above 28
Unanifaa kabisa
Mhhhhh.... kupendana ni issue......... sijui kwa upande wangu kama unanifaa..
You never know
Mhhhhh.... interesting ehee. I dont like trial n error at this age.
That's the only way...as I said you never know
Mhhh.... patience is the key, let's wait n see....
Now you are talking.
Hayaa banaa
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Utaweza kweli........
Nikisoma vigezo ndio nitajua,hakuna linaloshindikana.
Mkuu RRONDO convo za hivi huwa nazipenda sanaHa ha ha.

Hakuna aliyenitumaWewe binti nani kakutuma?!
Mimi sio bachelor, naogopa kuingia mtegoni mkuu. Namwachia mdogo wangu aendeleze gwaride...Karibu mkuu tunaweza endeleza.
Ha Ha haMimi sio bachelor, naogopa kuingia mtegoni mkuu. Namwachia mdogo wangu aendeleze gwaride...
Usikaze sana, lazima ataviweza tu!!!Ha Ha ha
Sawa mkuu
Wacha aendeleze yeye.
Ila sijui kama masharti na vigezo ataviweza.
Mhhhhh, hayaUsikaze sana, lazima ataviweza tu!!!