Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Mhhh..suala la dini nilishalishinda kidato cha sita. Tangu wakati huo sijawahi date mtu wa imani tofauti.


Ila si rahisi kihibyo, kwangu na kwake. Kama ambavyo sioni katika umri huu nikianza kusoma Quran na yeye nitamuelewa kabisa akisema ni vigumu kubadili dini.


Ni heri mwanzo kabisa utafute mnayelandana imani au muwe mmeshakubaliana tangu awali kabisa...
Hata mimi huwa nakwepa wa imani tofauti, uzuri ukisikia jina tu linakupa mwongozo
 
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.

Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.

1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)

2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)

3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.

4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Hivi ni upi umri sahihi akuoa?
 
H
"Sisi ma senior bachelor"
Inamaana mpaka Leo haujaoa? Angalia watoto wa ndani ya ndoa baada ya kuoa wasije kuita babu badala ya baba.


The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Haka ka avatar kazur sana hapo kifuan
 
Mzee baba kwa hatua uliyofikia option pekee ni kuchukua tu hizo old cargos kama mpango bado huko hai.

Ila nimekuelewa sana hapo mwisho!
 
Mzee baba kwa hatua uliyofikia option pekee ni kuchukua tu hizo old cargos kama mpango bado huko hai.

Ila nimekuelewa sana hapo mwisho!
Aisee eti nini? 'old cargo'?
 
yes old cargo!! they are about to go
out of use( menopause is knocking)
Yes, menopause is knocking and people are in panic mode! Chezea biological clock! Majuto kama yote. Muda ni mwalimu mzuri kushinda wote.
 
Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hiv: A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.

Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?

Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom