Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Huwa wanajua kuwa huyu sio baba yangu. Na yeye atapata mtoto nje ya mahusiano rasmi akiamini yupo mwanaume atayekuja muoa na kumpenda akiwa na mtoto, kama ilivyokuwa kwa mama yake.

Trust me.....watoto hawafuati mafundisho ya maneno kwa kiwango kikubwa wanaiga na kufuata mfano wa matendo unayowaonyesha......

Sent using Jamii Forums mobile app
Very true,pia mama hawezi kumuonya bintiye ataanzia wapi wakati yeye mwenyewe single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yangu usijidanganye hivyo labda vijijini wanaoshinda shamba lakini mjini humu hakuna kitu kama hiyo ukimwambia mtu nina 36 anakwambia hiyo miaka ya kwako au umeazima, nenda kijijini akiwa na 36 anakaribia kuwa na wajukuu au anao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anazeeka mapema na anapoteza mvuto mapema sana, angalia jokate hata 35 hajafikisha lakini,uzuri kiwango kishashuka,Hana Tena ule mvuto,ndo maana wazee wa kale walisema uzuri wa mwanamke sio sura tabia,sisi wanaume ndo tunaelewa hii kauli kuliko nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wee unaingia kwenye ndoa ukidhani papuchi yako peke yako....utajinyonga kaka. Wanawake wee wachjkulie chomba cha starehe na wewe una mihela sii utakuwa unagegeda huko nje bana...kwani ukioa ndio mwisho wakubadilisha papuchi....utazingua braza ukifanya kosa la kumpenda mwanamke!!!!
Jiangalie vizuri mkuu
Screenshot_20190325-212247_Instagram~2.jpeg
 
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa. Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.
1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)
2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)
3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.
4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
Mzee baba senior bachelor anaanzia miaka mingapi ?
 
Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;

A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.

Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?

Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
duh....ndio maana wazee wanaoa ujue...!
 
Hakika.

Mabinti wa miaka 25-30 wengi wan watoto bila ndoa. Kumkuta mwakamke ana miaka 30 na hana mtoto ni nadra sana.

Kwa mimi ambae msimamo wangu ni kutokuoa single mom, inanipatia shida sana ingawa mimi bado sijafikia senior bachelor.

Kupata demu ambaye hajazaa ni ngumu..halafu tatizo 95% wanafuata hela tu..ni shida sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom