Sio wote. Wengi bado hawajatulia. Unaweza kulinganisha mtu mwenye 22 na 28 hata mwanaume?Kweli naona under 25 wanakandamizwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wametumia kigezo gani kuconclude kwamba under 25 wote hawafai...
Ila hao over 25 nao imekua changamoto..Sasa hapo sijui wanaume mnataka wepi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhhahhhahhaa..duuuh!Sasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.
Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.
Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.
Lakini nyie mmeconclude kwamba wote under 25 yrs Ni wasumbufuSio wote. Wengi bado hawajatulia. Unaweza kulinganisha mtu mwenye 22 na 28 hata mwanaume?
Ndiyo hapo anaibuka na yeyote bora kuoaNi pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;
A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.
Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?
Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
Mchaguaji sana wa nazi huishia kuondoka na koroma.
Na utajuta unajikuta upo na 60 yeye 36-40 wewe hoi haaa lazima wakubebee mkuuDogo dogo baadae kugongewa nje nje!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia haina usawa hiiMimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?
2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.
************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu mara nyingi waume wa hivyo hupata wake wasiojua kupika , wachafu vyote vyakeSasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.
Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.
Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.
Unalosema kweli, ila kupata mtoto ni kudra za mwenyezi Mungu kuna watuUnakuta Class Mate Yupo Sawa Kazini Ana Watoto Kipato Safi Ila Wewe Hoi Huku Ukisema Alikuwa Kilaza Darasani. Wengine Wana Masters Hawana Hata
Mtoto, Kazi. Wengine Kusoma Hawajui Wana Watoto
Digital Generation
Wapo kibaoEtiiiiii? Hajakutana na watu Wana 42 hata dalili hamna but Wana mipango ya kuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa kama hajapata wakumuoa atazaa vipi mapema, kuna wengije wanazaa kwa hile hile chaoMbona jibu rahisi? Hakuwa tayari kuzaa kabla ya ndoa.
Kuna mkaka alikuwa anachagua ohhoo mie nikitaka kuoa naoa wa hivi na vile kamaliza chuo 28yrs kaoa huu karibia mwaka wa 3 tu ndoa imemshinda mwenye matatizo mwanaume mke hana shidaMchaguaji sana wa nazi huishia kuondoka na koroma.
Miaka 35 na kuendelea.Senior bachelor inaanza ukiwa na umri gani?
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
[emoji23]