phael vet
Senior Member
- Sep 30, 2016
- 126
- 82
Mkuu hiyo ni changamoto sana aiseeHivi ina maana hakuna option kabisa ya kuremove information ambayo umeweka ndani ya muda mfupi? katika kujaza sehemu ya elimu nimejikuta nimeongeza cheti ambacho naona nikitoe, sasa hakuna sehemu ya kudelete bali kuna kuedit tu, nimeEdit nikajaza taarifa nyingine lakini matokeo yake system imecreate entry nyingine na ile ya mwanzo imebaki so nimekuwa nimeongeza tu cheti. Kuna namna ya kufanya? Na je,kuna watu au line za support unaweza kuwasiliana nao?
Pia kwanini kama nafasi inahitaji mtu mwenye diploma ukiapply una degree unaambiwa huwezi kuapply, hawa jamaa wanatumia logic gani?