Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,089
Kama umeomba na una vigezo unachaguliwa kwenda kwenye written interview. Kutoka hapo waliofaulu watakwenda oral interview.
angalia Website ya UtumishiNaomba kuuliza, je Post ya Administrative Officer iii, huko SUA wameshafanya interview au wanafanya lini?
Ahsante sana mkubwa.Sio lazima CV, ibadilike. Katika matangazo ya kiswahili mi huandika barua ya kiswahili basi. Ila CV inabaki vile vile. Pia zingatia utumishi unapoomba kazi unaattach tu barua cuz vingine unakuwa ushaviambatanisha ulipokuwa unajisajili.
Kazi kama za Afisa Mtendaji mara nyingi maombi yake yanatumwa moja kwa moja kwa wakurugenzi wa eneo/wilaya/mkoa husika tena kwa njia ya posta. So sioni kama kuna sababu ya kuweka anwani ya Karibu, utumishi wa umma. Zingatia sana address ya tangazo husika na namna ya kutuma.
Sent from my Infinix Zero 4 Plus using JamiiForums mobile app
Nime register upya kwa email nyingine lkn nikifika tu kwenye kuweka namba ya nida naambiwa ixhatumikaNamba unayoweka hapo ishatumika jaribu kulogin
Nime register upya kwa email nyingine lkn nikifika tu kwenye kuweka namba ya nida naambiwa ixhatumika
Yaani hili tatizo ni la wengi aiseee kiukweli hii system inawaumiza weng aiseeMimi nilikosea kwny ku_upload cheti cha chuo nika upload mara tatu so nimejaribu kudelete vyeti viwili ili kibaki kimoja nmeshindwa, please msaada!
mfumo wa sasa haukubali kudelete cheti ,kama uliweka cheti hautakuta option ya kudelete utakuta option ya kuedit tu hivyo hauezi kukiondoa.Anazungumzia kwa mtu aliyepitia diploma anaweza kuondoa cheti cha degree akaacha cha diploma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu nimekupata, ila kuna mtu alimjazia kimakosa mara ya kwanza nadhani alikosea mana muhusika sio mimi ni jirani yangu alinifata niweze kumsaidia sasa nilijaribu kujaza kwenye academic qualifications option za kuweka hicho cheti cha awali hakuna sasa mkuu sijui itakuwaje na kesho ni mwisho wa kutuma maombiAttach kwanza cheti chako cha form four. Kama tayari nenda kwenye "Professional Qualification s" Add pale. Kuna board mbali mbali zinahusika na professions kama ERB, kama we ni dereva manake utatafuta NIT au VETA zipo pale...
Kuna 1. Academic qualifications, 2. Professional qualifications, 3. Working and Training Experience. Hapo ni vitu kama vinaendana ila ni tofauti.ok mkuu nimekupata, ila kuna mtu alimjazia kimakosa mara ya kwanza nadhani alikosea mana muhusika sio mimi ni jirani yangu alinifata niweze kumsaidia sasa nilijaribu kujaza kwenye academic qualifications option za kuweka hicho cheti cha awali hakuna sasa mkuu sijui itakuwaje na kesho ni mwisho wa kutuma maombi