Bora mfumo huu unaweka haki kuliko wa zamani ambao utaweka "undugunization" kwenye ajira. Ajira portal iendelee tu kwakweliUkisema Tassisi ziajiri Kama zamani,
Kama Huna Ndugu kwenye Tasisi inayoajiri,kilio chake ni Mara 1000 ya unayodhani ni mapungufu ya system
Aliyekuambia undugu umetoweka nani mkuu wewe kama huna mtu kwenye taasisi yoyote ile andika maumivuuBora mfumo huu unaweka haki kuliko wa zamani ambao utaweka "undugunization" kwenye ajira. Ajira portal iendelee tu kwakweli
Mimi nimepata ajira kwenye taasisi nyeti nchi Hii bila kuwa na ndugu wala kushikwa mkono. Mkuu jipange ufaulu interview acha kusingizia upendeleoAliyekuambia undugu umetoweka nani mkuu wewe kama huna mtu kwenye taasisi yoyote ile andika maumivuu
yaan hapo mkuu utakuta kozi imetofautiana kidogo tu wanakwambia hivyo wakati kuna baadhi ya kozi za social science huwa zinafanana lakini wakikwambia ni mf. DEVELOPMENT STUDIES we ukawa na COMMUNITY AND DEVELOPMENT STUDIES watakwambia hauqualifyDah yani mfumo umekua mbovu sometimes uko apply inadai haujaqualify
Dah yani mfumo umekua mbovu sometimes uko apply inadai haujaqualify
Watu wa VETA na NIT wanapewa kipaumbele zaidi na waajiri (sio wote lakini asilimia kubwa) kuliko wa vyuo vingine. Kwa serikali, hiyo ni sawa na mama na baba.Ipo category inayosema OTHERS so nime pick iyo others nikaweka driving licence nikaatach na chet changu cha mtaani .
Swali langu ni kuwa je kwa kuchagua iyo driving licence natakiwa niweke licence au cheti?
Pili je hii profesional si itanitambulisha kama driver? wakat mm profesional yangu ni transport officer
Yaani ni shiidaaView attachment 1532940
Kila niki sign in inaniandikia hivyo, sijaelewa shida ni nini
Tanzania digital world bado hatujafikia uwezo wa kui run...wee chunguza sehemu nyingi hata tra unaenda lipa kodi unaambiwa huduma hakuna myandaonupo chini!...haya hao nida hadi leo wameshindwa kukamilisha zoezi la vitambulisho!..mwendo kasi dar ilikua mwanzo una punch ticket ktk mageti yale,kulikua na ku swaap carf vyote vimefeli....ni kwamba tunaipenda modern digital tech lkn nchi bado hatujafika hukoMnaturudisha Zama za zamani. Ulimwengu upo Kwenye Mapinduzi ya Viwanda Awamu ya 4 (Fourth Industrial Revolution-4IR) nyie mmeng'ang'ana na Makaratasi na P. O Box tu
Bora vile kwa maana hata kama hela ya chai utatoa lkn kitaeleweka,ni afadhali mbona humu mabarabarani tunawapatia wajomba hela kidogo ya chai wanakuacha unaenda zako?Ukisema Tassisi ziajiri Kama zamani,
Kama Huna Ndugu kwenye Tasisi inayoajiri,kilio chake ni Mara 1000 ya unayodhani ni mapungufu ya system
Tatizo si kujuana shida imekua ikisemwa ni vyeti feki..kama urasimu huunashindwa kuuona basi inashangazaAjira portal iendelee. Kwa kiasi kikubwa imepunguza kujuana.
Verification mara ngapi?serikali umenihakiki na kuridhika ukanipatia card kama kithibitisho kupitia taasisi maalum ya Nida leo hii naombabajira sehemu serikali hiyo hiyo kupitia taasisi nyingine wanashindwa kuamini uraia wangu!mambo ya ajabu sanaGraduate gani wewe unakosa hata hoja za msingi ivi Nida number zingekuwa zinawekwa tu bila kuverify kuwa huyu ni mhusika unadhani ni namba ngapi zingetumika ovyo? Unapokuwa na kichwa kibovu cha kushindwa walau kujua details ulizo jaza nida wakati unajiandikisha uko kazini unataka ukafanye nini? Kwangu mfumo wa Ajira portal una ufanisi wa zaidi ya 90% sote tunajua hapo awali kwenye taasisi nyingi kama huna mtu wa kukushika mkono ilikuwa mbinde kupata ila kwa sasa ni bidii zako nawafahamu zaidi ya watu 5 wanufaika na huu mfumo bila kuwa na uncle wala baba mdogo na wamelamba ajira sehemu sensitive
Wewe kama ulikuwa unacheza chuo kwa kutegemea ukimaliza ushikwe mkono na mjomba na upate ajira ndio imekula kwako sasa pambana na wenzako
Kwani wewe huna ndugu?Bora mfumo huu unaweka haki kuliko wa zamani ambao utaweka "undugunization" kwenye ajira. Ajira portal iendelee tu kwakweli