Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
935
Reaction score
3,014
Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha

Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks.

Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu mbili, 1. marks / ufaulu 2. kutunzwa kifedha.

1. MARKS / UFAULU

Kwa wale wanafunzi awe vipanga ni ngumu kuwafelisha ila anaweza kumtisha atampa ufaulu wa kawaida au kumuahidi atamfaulisha zaidi na sio lazima amwambie hivyo, mwanafunzi wa kike akiona Lecturer anamtaka tayari anajua hayo.

Wanafunzi wenye wenye uwezo wa kawaida au mdogo inakuwa (mara nyingi huwa ndizo pisi kali) hawa ndio huwa rahisi zaidi kuwakamata na huwa wanajilengesha na kuwa tayari kwa lolote wajinasua, kinachobaki ni maamuzi ya mwalimu.

2. KUTUNZWA KIFEDHA

Lecturers wanalipwa fresh kwa wastani milioni 2 hadi 4 kwa chuo kimoja (wapo wanaofundisha hadi vyuo vitatu kwa mpigo), binti anajua kabisa hapa kuna fursa ya kupata vilaki laki vya matunzo

hao lecturers mnaowaona wamefumaniwa ni wachache sana na sio mara ya kwanza, ilishakuwa tabia sugu, mbaya zaidi huwa wanapewa onyo au wanahamishwa tawi la chuo (wanalindana)
 
mabinti hawamkubalii lecture kwa sababu ya kuwafelisha, bali kipato cha lecture kitawapa matunzo.

binti anajua kabisa hapa kuna fursa ya kupata vilaki laki vya matunzo, anaona bora ajiweke tu kwa lecture
 
Yani ukweli ni kwamba hata akiwa mkeo ni serious kabisa iliwahi nitokea alikuwa huko Dodoma chuo mara nyingi sana alikuwa analalamika anapitia magumu kiasi ambacho kuna vingine ni ngumu kusema ila nikiwaza kama msosi siyo kweli ila kuna jina la lecturer akawa analitaja sana kwamba ndiyo kikwazo ila baadae malalamiko yaliisha nikajiongeza tu sikuhoji wala kujipa presha.
 
Simkumbuki jina huyo lecturer yupo IFM ningemtaja hapa,

Alikuwa mwalimu wa macro economics bhn first year,

Tumefanya quiz vizuri tuu.... Sasa ku upload course work sijajaziwa assignment two, ndo hiyo quiz kuuliza kwa wenzangu wote tyr

Nikajiuliza kwangu ni nn kigumu mpk nisijaziwe ? Utaratibu wao unamchek assistant lecturer then ata submit majina kwa lecturer

Sasa nikampigia simu lecturer naomba unijazie maksi zangu akasema sawa ntakujazia, baadae nampigia tena anajibu kuwa nimeshasafiri subiri majibu yakitoka utaandika rufaa,

Nikuwa na rafiki angu mmoja wa kike akanichana mwalimu anamtaka na ana mind tunavyomsumbua kuhusu course work huku bi dada akimkazia,

Niliwaza kuhusu matokeo maake uchumi ulikuwa mgumu kwangu nikihofia supp Ila Alhamdullilah nilipita yule binti alirudi kufanya supp,

Hizi issue zipo sana tuu vyuoni huko
 
Hiii story yako iko nusu
 
Back
Top Bottom