Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

maskini Madrid...dah
nikivuta picha tangu Madrid ile Dume ilivyosasambuliwa na kukatiwa shanga na akina Del Piero, Nedved na Trezeguet....kisha wakaja kujiuliza tena na Zalayeta akawananihii...dah hapo ndo napochoka

Juventus hawawezi kuchukua kombe kwa historia, inabidi wakaze vigimbi pachimbike kisawasawa, bahati mbaya wanacheza second-leg Santiago Bernabéu.
 
draw uefa.jpg
 
Jajaja ORALE!! Real Madrid vs Bayern Munchen final. Lo siento Juve.
 
Juventus hawawezi kuchukua kombe kwa historia, inabidi wakaze vigimbi pachimbike kisawasawa, bahati mbaya wanacheza second-leg Santiago Bernabéu.
Hata tungecheza both legs Italy, Juve anakula zile tulizompa last time tumekutana kwenye group stages. No dis-respect kwa wajukuu, ni bahati mbaya tu mmekaa njiani.
 
Hata tungecheza both legs Italy, Juve anakula zile tulizompa last time tumekutana kwenye group stages. No dis-respect kwa wajukuu, ni bahati mbaya tu mmekaa njiani.

Kuna watu wamehama Atleti wamehamia Juve
 
maskini Madrid...dah
nikivuta picha tangu Madrid ile Dume ilivyosasambuliwa na kukatiwa shanga na akina Del Piero, Nedved na Trezeguet....kisha wakaja kujiuliza tena na Zalayeta akawananihii...dah hapo ndo napochoka

babu hii mechi naikumbuka Pavel Nedved anapiga bonge la nyaya mczech huyu analia badala ya kushangilia hapo ana kadi mbili za njano mechi ijayo anaikosa so sad nikilikumbuka lile goli dahh natamani kulia aisee
 
Kuna watu wamehama Atleti wamehamia Juve

Hahaha acha wahamie. With all due respect, tukifungwa na timu anayofundisha Allegri, Mods wabadilishe Id yangu iwe Lil Wayne au Biggie Smallz, au nipigwe ban 4 good.
 
Game ya Barca vs Bayern ilifaa sana iwe fainali...

Otherwise kama Real akikutana na Bayern patakuwa hapatoshi...
 
Guardiola vs Luis Enrique(wachezaji wa zamani FC Barcelona)sambamba Thiago Alcantara na Pepe Reina vs La Masia/FC Barcelona,upande mwingine ni Andrea Pirlo akiwa na Juventus vs kocha wake wa zamani AC Milan Carlo Ancelotti akiwa na CF Real Madrid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom