UEFA Champions League Draw 2023/2024

Observer

Senior Member
Oct 18, 2006
188
290
Draw ya Uefa Champions League inafanyika sasa kutoka jijini Monaco nchini Ufaransa

Jiunge Nami kukuletea Draw hiyo

Je chama lako litapangiwa na nani?

Group A: Bayern Munich, Manchester United, FC Copenhagen, Galatasaray

Group B: Sevilla, Arsenal, PSV, RC Lens

Group C: Napoli, Real Madrid, SC Braga, Union Berlin

Group D: Benfica, Inter Milan, Salzburg, Real Socieded

Group E: Feyenoord, Atletico Madrid, Lazio Celtic

Group F: PSG, Borussia Dortumund, Ac Milan, Newcastle United

Group G: Manchester City, RB Leipgz, Zvevda, Young Boys

Group H: Barcelona, Porto, Shakhtar, Royal Antwerp

1693505837087.jpeg
 
Uefa Group stage 2023/2024

Group A
Bayern,Man U,Galatasalay,Copenhagen

Group B
Sevilla,Arsenal,PSV,Lens

Group C
Napoli,R Madrid,Braga,Union Berlin

Group D
Benfica,Inter,Salzburg,Real Sociedad

Group E
Feyenood,Altletical Madrid,Lazio,Celtic

Group F
PSG,Dortmund,Ac Milan,Newcastle

Group G
Man City,Lepzig,Civena Ziveda,Young Boys

Group H
Barcelon,Porto,Shakta Doneski,Antwep
 
Ikiwa ni baada ya kukamilika kwa upangaji wa draw kwa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani ulaya msimu wa 2023/24 jioni ya leo.

Huku wengi wakiamini kuwa kundi F ndio kundi gumu (kundi la kifo) likiwa na timu kama wababe wa ufaransa Psg,dortmund, milan pamoja na wageni kwa mda mrefu toka England Newcastle United., kwa upande wako ni lipi kundi la kifo?

Na je, chama lako litatoboa kwenye hatua hii na kufuzu hatua ya 16 bora? Au ndio tukutane usiku wa alhamis..

Timu zipi unaona zimepata kamserereko na zinaweza kuongoza makundi yao?

Pia unaweza kutujuza ni mechi zipi unaona kwa jicho la kimpira/kiufundi zirakuwa za kukatana shoka.

N.b wanangu wa Manchester United habari zenu tunazo mkitaka kujua kazi za bayern waulizeni ndugu zenu arsenal mara ya mwisho nini kiliwapata au waulizeni watoto wa Xavi mziki wake.

FB_IMG_1693500883729.jpg
 
Back
Top Bottom