Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

2239074_w2.jpg
 
Uefa semi -final:-
1: FC BARCELONA VS FC BAYERN
2: JUVE VS REAL MADRID
 
bayern this time yupo ugenini;: kaz kwao maana zle goli 6 mara 7 sijuy kama tutaziona:; Guardiola anarud Camp Nou
 
Nasubiri nusu fainali full maufundi; Barca vs Bayern.
Real Madrid kama kapata nafuu hivi ila Juventus nao sio wadogo. Wako vizuri na morali yao ipo juu sana...pia wana fundi bora kabisa kwasasa duniani; Pirlo. Wanaweza fanya maajabu.
 
maskini Madrid...dah
nikivuta picha tangu Madrid ile Dume ilivyosasambuliwa na kukatiwa shanga na akina Del Piero, Nedved na Trezeguet....kisha wakaja kujiuliza tena na Zalayeta akawananihii...dah hapo ndo napochoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom