Tunakumbushana tu! Hakuna pointi ni mtoano tu!

enzo1988

JF-Expert Member
May 26, 2018
735
2,889
Narudia tena, hakuna makundi ni mtoano mpaka mwisho!!


African Football League (AFL)


The draw
for the Inaugural AFL competition will be held in Cairo, Egypt, on 2 September 2023, at 19H00, Cairo Time and will be streamed live on the AFL website and televised by CAF’s broadcast partners.


The fixtures of the Inaugural AFL competition are structured on a home and away basis. The competition starts with knock-out quarter finals and will be followed by the semi-finals and the final; all of which are played over two legs.


This historic Inaugural edition of the AFL will take place over four weeks, kicking off with the Opening Ceremony and the first match on 20 October 2023 in Dar es Salam, Tanzania.


The semi-finals will take place between 29 October and 1 November.


The final matches which will determine the winner of the Inaugural AFL competition will take place on 5 and 11 November 2023.

Source: CAF : 29/08/2023.
 
Nguvu moya out mapema tu
Papatu papatu fc mechi yao moja tu! Nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri Makolo fc waje kushtaki timu pinzani eti imechezesha mamluki kina Sadio Mane, Ronaldo, Naymar na Benzema!

Hii ligi itaonesha panapovuja kwa vibonde Simba guvu moya!
 
Duh.... Mungu hakika ndio Kila Kitu... Jaribu kupiga Picha Utopolo kwa Comments zao hapo juu ndo Wangekuwa Sir God...!

Nawakumbusha tu ....Hizo timu zinazoshiriki kwa Mujibu Wa CAF ndo timu bora kwenye Ukanda zinapotoka..!

Simba ndo Timu BORA(Kuliko Zote) Afrika Mashariki na Kati Kwa Sasa..! Ndo maana Wapo hapo..!
 
Papatu papatu fc mechi yao moja tu! Nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri Makolo fc waje kushtaki timu pinzani eti imechezesha mamluki kina Sadio Mane, Ronaldo, Naymar na Benzema!

Hii ligi itaonesha panapovuja kwa vibonde Simba guvu moya!
Mi nasubiri kucheka tu maana CAF watajiona maboya kuwaweka Makolo
 
1. Simba washapiga BILIONI 5 ZA SUPER LEAGUE.

2. Simba inawakilisha TAIFA kwenye Super league

3. Marais WA Fifa na CAF watakuja Tanzania kwaajili ya ufunguzi WA mashindano ya super League.

4. KUTANGAZA vivutio vya Utalii ndani ya nchi.

5. Kukarabatiwa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa.

UTOPOLO MAPUMBAFU SANA.

WENYE AKILI NI WAWILI TU.
 
Tuwekee rekodi sawa sasa. Simba ni timu ya kwanza nchini na Afrika Mashariki kufikia ngazi ya robo fainali ya African Football League (AFL).
Baadaye miaka kadhaa hatutaki kuja kubishana kuhusu hilo
Haswa wakipata wao na medali zikawa zimebadilishwa rangi kidogo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom