Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

Save Like Casillas. Defend Like Ramos. Control Like Isco. Hold Like Kross. Pass like Modric. Shoot like Ronaldo. Win like Real Madrid, then you can be UCL champion, sio blah blah blah humu jamii forums huku viroho vinawaenda mbio hahaha!

win like Juve...
 
Ni msiba mkubwa kwa barca, bila shaka leo watakesha wanalikumbuka zigo la magoli walilobebeshwa msimu wa mwaka juzi! Ukitaka kuwanyima kikombe barca we wapange na Bayern tu, hapo ndo unamkuta Messi amekuwa amekuwa mdogo kuliko piriton! Hivi mwaka juzi walifungwa ngapi vile?

Haya maneno yenu haya, yatawagharimu saaana!! Mkuu ulisahau kuwa ni miaka ya Majuzi tu2012 Bayern waliwachapa Madrid semi final, msimu jana Bayern nae akabebeshwa zigi na hao hao Madrid jumla ya goli 5.
umeyaona sasa yaliyokukuta!??
 
Umefanana sana na TUPACified hadi miandiko yenu au ndo ujio wake mpya....nawaza tu usinipige mawe.....Lol

Ndo yeye, kwa ninavowajua JF kutokana na maneno yake angepigwa Ban kweli. Kumbuka Salamander alifanywa nini, wengi tu washawahi kupigwa Ban kutokana na kile walichokisema, kwanini kwake yeye isiwe?
 
Last edited by a moderator:
Invisible naomba umsamehe kwa Ban mliyompa huyu maana naamini amejifunza huyu TUPACified.

Ban aliomba mwenyewe alivyoona dalili za kufungwa akaamua a-create ID nyingine ile ya zamani akaacha kuitumia now anatufanya sisi watoto,kuna watu walipigwa life ban mpaka wakaombewa msamaha.Mod muacheni anachangamsha sana jukwaa la Sports & Entertainment naamini next time hatajaribu kuomba ban
 
harafu anajifanya anakataa. Mimi nilimuombea msamaha kutokana na kujua kwamba amepigwa Ban kweli, kumbe Jamaa kaja na ID nyingine, basi apigwe Ban tuu.
 
Ban aliomba mwenyewe alivyoona dalili za kufungwa akaamua a-create ID nyingine ile ya zamani akaacha kuitumia now anatufanya sisi watoto,kuna watu walipigwa life ban mpaka wakaombewa msamaha.Mod muacheni anachangamsha sana jukwaa la Sports & Entertainment naamini next time hatajaribu kuomba ban

Mimi nilidhani ni kweli amepigwa Ban, kumbe hajapigwa Ban na jamaa kaja na ID nyingine ijapokuwa anapinga. Kama angepigwa Ban basi kwa mda wote ule utakuwa ni fundisho kwake ndo maana tukamuombea msamaha. Kumbe ni msanii tuu.
 
Ban aliomba mwenyewe alivyoona dalili za kufungwa akaamua a-create ID nyingine ile ya zamani akaacha kuitumia now anatufanya sisi watoto,kuna watu walipigwa life ban mpaka wakaombewa msamaha.Mod muacheni anachangamsha sana jukwaa la Sports & Entertainment naamini next time hatajaribu kuomba ban

hah hah hayo mambo ya kuomba BAN yana wenyewe...
 
Ban aliomba mwenyewe alivyoona dalili za kufungwa akaamua a-create ID nyingine ile ya zamani akaacha kuitumia now anatufanya sisi watoto,kuna watu walipigwa life ban mpaka wakaombewa msamaha.Mod muacheni anachangamsha sana jukwaa la Sports & Entertainment naamini next time hatajaribu kuomba ban
Wazee ni ban JF tu, kuna maisha halisi. Zaidi zaidi atakachomiss Mshkaji humu ni kuchangia porojo na watu wa home tu, ambako pia kuna platforms nyingine kibao za kufanya hivyo. Ila isiwe kesi, naona hii mambo inakosesha watu amani sana, so ngoja na mimi nijiachie tukatumikie ban wote.

Tatizo nikiondoka hata sifiki mbali mnaanza kulikosea adabu chama langu, inakuwa ngumu kushuhudia na kukaa kimya. So nadhani nitabaki mtutusi nikiwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom