Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

hyo semifinal 1 ndi hatar bayern vs barca

Ni msiba mkubwa kwa barca, bila shaka leo watakesha wanalikumbuka zigo la magoli walilobebeshwa msimu wa mwaka juzi! Ukitaka kuwanyima kikombe barca we wapange na Bayern tu, hapo ndo unamkuta Messi amekuwa amekuwa mdogo kuliko piriton! Hivi mwaka juzi walifungwa ngapi vile?
 
walifungwa goli 7
 
Daddy twakutana na Ex-manager wetu? Je kisasi kitalipwa??????

-Hakuna presha, Game tutaimaliza Camp Nou kisha tunaenda kukaza kwao Ujerumani.
-Ni ngumu kuwpiga 7 endapo watakuwa wamepona key players wao.
-But am sure Barcelona watawatoa Bayern, na tutawachapa hapa Spain si chini ya Bao 3.
 
Ni msiba mkubwa kwa barca, bila shaka leo watakesha wanalikumbuka zigo la magoli walilobebeshwa msimu wa mwaka juzi! Ukitaka kuwanyima kikombe barca we wapange na Bayern tu, hapo ndo unamkuta Messi amekuwa amekuwa mdogo kuliko piriton! Hivi mwaka juzi walifungwa ngapi vile?

-Umeanza lini kuangalia mpira wewe mpaka uifananishe Barca ya Mwaka juzi na Barca huu?
-Barca imefanya madiliko makubwa sana. Labda wapate majeruhi siku za hapa karibuni.
 
Save Like Casillas. Defend Like Ramos. Control Like Isco. Hold Like Kross. Pass like Modric. Shoot like Ronaldo. Win like Real Madrid, then you can be UCL champion, sio blah blah blah humu jamii forums huku viroho vinawaenda mbio hahaha!
 
-Umeanza lini kuangalia mpira wewe mpaka uifananishe Barca ya Mwaka juzi na Barca huu?
-Barca imefanya madiliko makubwa sana. Labda wapate majeruhi siku za hapa karibuni.

Hakuna mabadiliko ya msingi, Messi ni huyo huyo, Iniesta ni huyo huyo, game plan ni hiyo hiyo! Kama wameongeza wachezaji kama vile yule mng'ataji, Bayern pia wameongeza mashine za uhakika kama vile Lewarndosky! Jiandae kisaikologia kwa kimbunga kingine! Kuhusu lini nimeanza kuangalia mpira mimi ni mkongwe na DSTV iko sebuleni kwangu kitambo tu!
 
-Sasa nimegundua kuwa wewe una bifu binafsi na Barca.
-Barca wakati wanapigwa na Bayern timu ilikuwa hovyo sana.
1. Majeruhi hususani kwa mabeki pamoja na Messi ambae hakuwa na msaidizi yoyote kule mbele ukiachana na sasa hivi kuna Neymar na Suarez. Kipindi kile hata Messi mwengewe alikuwa majeruhi.
2. Xavi alikuwa hawezi kuendana na Speed ya mchezo ukiangalia yeye ndo mchezeshaji mchezo.
3. Kocha hakukaa na timu miezi takribani 3, Marehemu Titi Vilanova anatoka USA kwa matibabu ni mechi mbili kabla ya Game ya Bayern Munich. Hii nayo ilichangia timu kutofanya vema.
 
Hahaha kwanini usikubali kwamba Bayern walikuwa on-fire? Ongea vyote, ila ushabiki pembeni, hii Barca ni dhaifu kati ya zote toka Rijkaard amewainua. Ila utabisha kama kawaida yako/yenu. Only time will tell.
 
This stage right here, is really tough/
These teams out-here, about that spot/
These teams out-here, wishing to plot/
We have no fear/ afraid of what?/

La-Undecima hold tight, we comin' up/
Haters talk loud, but don't run-up/
When we come through, they running scared/
We still right here, so pray 4 luck/

Na-na na-na na-na na-na.

Imba kama Nate Dogg kwenye G-nation. Esp kama we ni Madridista.
 
Hahaha kwanini usikubali kwamba Bayern walikuwa on-fire? Ongea vyote, ila ushabiki pembeni, hii Barca ni dhaifu kati ya zote toka Rijkaard amewainua. Ila utabisha kama kawaida yako/yenu. Only time will tell.

-Kwanini unasema ni dhaifu?
 
-Kwanini unasema ni dhaifu?

It's obvious, hamna squad depth, even worse mna ban ya kusajili. Timu haina ushirikiano, kuna mambo kibao yanayothibitisha Lucho hapatani na senior players kadhaa, word is, hata kuongea ni kikazi tu na haitokei kama inavyotakiwa.

Kiufundi pia mko dhaifu, defence inajikongoja, kati hakuna connection, ndio maana we owned you kwenye games tulizocheza na nyie msimu huu. Kule mbele mna watu bora, ila pia wameshindwa kucheza pamoja, so far wanatumia uwezo binafsi. I guarantee you, ile trio haitadumu misimu zaidi ya mitatu maximum.

Na nina uhakika Bayern will own you too, na sisemi kwa ushabiki. Unless, mna-sacrifice mmoja kati ya wale kule mbele (most likely Neymar) for a mid-fielder, then tutakuwa na El Clasico for final.
 
Hivi madrid hii kweli ilikuwa ya kupangiwa Juventus!?.
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25 bingwa mtetezi anakwenda kutetea kombe lake, poor Uefa kwa kuzigonganisha Barca na Bayern ktk stage hii!!.
 
Sasa unalalaika nini? Ungemuuliza mshabiki wa Real Madrid wangependa kukutana na club ipi semi fainal angekujibu #juventus ... Na mashabiki wa juve nao ungewauliza swali hilohilo wangekujibu #Realmadrid . Hizi ndio timu zinazoonekana kuwa dhaifu kati ya hizi 4.
 
Hivi madrid hii kweli ilikuwa ya kupangiwa Juventus!?.
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25 bingwa mtetezi anakwenda kutetea kombe lake, poor Uefa kwa kuzigonganisha Barca na Bayern ktk stage hii!!.

Safi sana kwa kuliona hili, hawa UEFA wajinga sana Mkuu!!!!
 
Hivi madrid hii kweli ilikuwa ya kupangiwa Juventus!?.
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25 bingwa mtetezi anakwenda kutetea kombe lake, poor Uefa kwa kuzigonganisha Barca na Bayern ktk stage hii!!.

Mkuu uliangalia draw live?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom