Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,752

Wengi wanauliza nusu fainali za mashandano haya itakuwaje, kwa hiyo msikose kufuatilia wakati Juventus, Real Madrid CF, FC Barcelona and FC Bayern München will comprise the UEFA Champions League semi-final draw, live on UEFA.com from 12.00CET on Friday.

  • Live stream coming up in just over an hour. Watch live here: http://uefa.to/1e59PXd

    ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

    [UPDATE]:
    The result of the #UCLdraw

  • CDWaQGoWIAA9Jt1.jpg

    ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Kila mtu anataka apangiwe na Juve, sijui ndio wamewaona vibonde.
 
Real Madrid Vs Barcelona,Juventus Vs Bayern Munchen...mtazamo wangu tu!.
 
Kila mtu anataka apangiwe na Juve, sijui ndio wamewaona vibonde.

Tafadhali bhana. Ukiangalia kijuujuu unaweza kuiona juve kama dhaifu, lakini c kweli. Mimi nachoomba draw ya kesho tupangiwe #Barcelona au #Realmadrid . Na Mungu akiwa upande wetu zaidi game ya kwanza tucheze Turin. Naapa mbuzi aning'ate tukipangiwa na moja kati ya hizo fainali lazima...
 
Kusema kweli, timu kama kibonde haiwezi kufika katika hatua hii. Mimi nakutakia kila la heri upate kile unachoomba.
 
mimi natabiri hivi

:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: bet.jpg
 
Semi final
Barcelona Vs Real madrid
Juventus Vs Beyern munich
 
Napenda iwe hivi
Bayern vs Barca
Juve vs Real
Ili mwishoni wakutane
Real vs Bayern
 
Hivi Simba hawajucheza haya mashindano au ndio wameonewa kama kawaida wametokewa..maana manji ana fitna sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom