Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,698
- 11,297
Nadhani hakuna atakayebet kwa kuomba ban mechi ya finali
It's obvious, hamna squad depth, even worse mna ban ya kusajili. Timu haina ushirikiano, kuna mambo kibao yanayothibitisha Lucho hapatani na senior players kadhaa, word is, hata kuongea ni kikazi tu na haitokei kama inavyotakiwa.
Kiufundi pia mko dhaifu, defence inajikongoja, kati hakuna connection, ndio maana we owned you kwenye games tulizocheza na nyie msimu huu. Kule mbele mna watu bora, ila pia wameshindwa kucheza pamoja, so far wanatumia uwezo binafsi. I guarantee you, ile trio haitadumu misimu zaidi ya mitatu maximum.
Na nina uhakika Bayern will own you too, na sisemi kwa ushabiki. Unless, mna-sacrifice mmoja kati ya wale kule mbele (most likely Neymar) for a mid-fielder, then tutakuwa na El Clasico for final.
Umekula matapishi yako