Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

Champions League Semi-Final Draw ni Ijumaa mchana

Kusema kweli, timu kama kibonde haiwezi kufika katika hatua hii. Mimi nakutakia kila la heri upate kile unachoomba.

Acha kumpa moyo, hatua tuliyofikia ukiachana na majeruhi kwa Madrid basi utagundua timu yenye kiwango cha chini kidogo ni Juve.
 
CDWFy9RW0AE1flF.jpg:large
 
Acha kumpa moyo, hatua tuliyofikia ukiachana na majeruhi kwa Madrid basi utagundua timu yenye kiwango cha chini kidogo ni Juve.

Halafu we jamaa bana, unapeenda kuichukulia poa Madrid.
 
Lile Soka walilolicheza Bayern J'4 hakuna anaeweza kuwasumbua except Barcelona everlenk chebi na MO11
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom