CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Nimependa ATM wanavyocheza as a team na sio mtu mmoja mmoja.Halla halla ATM.
 
ATM wananifurahisha kiaina. Mchanganyiko wa pasi ndogo ndogo na mapande afun naona kama hawapo nervous kama Real.
 
Inaweza kuwa kweli mkuu. Labda Ancelloti ameplay safe sababu ya bad temper za Ramos na Pepe walizonazo. Kwa mtizamo wangu hawa jamaa (Pepe na Ramos) ni one foul away from a red card katika mechi kama hii.

Pepe msimu huu amecheza vizuri na kwa discipline sana Ramos ana red card 4 msimu huu,Pepe ni majeruhi
 
hahahahahahahahah

Real Madrid 0

Atletico Madrid 1
 
RM wanacheza under pressure tofauti na ATM wanaonekana wametulia sana.
 
Kuna mwehu alihoji mimi ni mganga kutoka wapi? Sasa namwambia hivi mimi nimganga kutoka chini ya kitovu. PIGA KELELEEEEEEEEEEEEEEE.
 
We obwato wewe. Uko wapi? Angali pridiction yangu kwenye post yangu ya kwanza. Angalia dk niliyosema...game imeshaisha. Tunasubiri kuona atletico akikabidhiwa kombe. Pole mkuu gutierez! Dah
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika utakosa kumwona Ronaldo akilia kwa kukosa ubingwa kwenye ardhi ya nyumbani.

Hilo halitanisikitisha. Kitakachonisikitisha ni kukosa kumuona Diego Costa akiwa anafurahi pamoja na wenzake pale wAtakapokuwa wanashangilia taji lao la 3 kwa msimi huu.
 
Real Madrid wamepata sana tabu game against Atletico msimu huu na wanacheza kwa pressure sana
 
Tena bahati yao dume la shupa (midevu) liko nje.
 
RM wanacheza under pressure tofauti na ATM wanaonekana wametulia sana.

Sababu kuu ni hii kwamba atm wameshatimiza malengo yao ya msimu huu ya kutwaa laliga wakati rm hawajatimiza lengo lao hata moja ndo wanapigana leo wapate japo uefa. Kwa upande wa atm kutwaa uefa ni kama ziada tu.
 
Back
Top Bottom