Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
Atletico 1 madrid 0
Ha Ha Ha utani utani mara kweli rubaman
Nasema hivi likirudi hilo nipewe ban ya week moja. Sitaki kuongea mengi.
Pengo la Pepe linaonekana pale nyuma
Nimekusikia nasubiri kipenga cha mwisho nitekeleze hilo....Nasema hivi likirudi hilo nipewe ban ya week moja. Sitaki kuongea mengi.
Gabi anapiga kichwa murua lakini kinatoka nje.ATM wako safi.Mungu wabariki.