Hawa Atletico hawajatulia kumbe walikuwa wanamchezesha Costa ambaye hajapona vizuri dah
Mimi nasena ATM wanachukua hii kitu.Real madrid wanachukua hii kitu
Mimi nasena ATM wanachukua hii kitu.
Mechi hii ngumu kutabiri naona imebalance mkuu.
Nasikia dogo Courtois hataki au anajisikilizia kurudi Chelsea.. Real wanaweza kufunga la kwanza hapa
Kule Atletico ana uhakika wa namba akija Chelsea atagombania namba
Haitabiriki hii kitu, yeyote aweza chukua
Barcelona wanachukua kiulaini