CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Sababu kuu ni hii kwamba atm wameshatimiza malengo yao ya msimu huu ya kutwaa laliga wakati rm hawajatimiza lengo lao hata moja ndo wanapigana leo wapate japo uefa. Kwa upande wa atm kutwaa uefa ni kama ziada tu.

Yes ATM hawana cha kupoteza leo hata wakifungwa ndio maana wako so relaxed.
 
Tatizo unapocheza na timu kama atliletico, unaona kama utafunga vile, huku muda unasonga.
 
Rm hata wakibeba ndoo ila bado ni wanyonge sana kwa atm
 
Hivi inakuwaje mtu unaweza kuingia humu halafu ukashindwa kufuatilia mpira katika website nyingine kama bbc football, Espnfc? Huwa nashindwa kuelewa hili.
 
Daaahh huyu di maria kafungiwa motor au!!???
 
Hivi inakuwaje mtu unaweza kuingia humu halafu ukashindwa kufuatilia mpira katika website nyingine kama bbc football, Espnfc? Huwa nashindwa kuelewa hili.

Mkuu umesababisha nifikiri na umenipa elimu hapa
 
CR7 the big chocker in UCL finals. leo kama vile hayupo uwanjani. Come on ATM
 
Please Invisible,put all your eyes on this mutu. Nikiona kesho anapost humu ntajua nanyi mnaangalia watu sura kama mh Supika.
Huwezi kujiombea ban kwa kuiamini baskeli ya udongo wakati juu kuna wingu zito.
Inaelekea umeanza kuishabikia mpira enzi za CR7 na Mess wewe!! Kama sio hivyo basi kili kua wewe sio mfuatiliaji mzuri wa laliga.
 
Last edited by a moderator:
nitafurahi sana atm kushinda hii game. kipa wao mzuri
 
Hivi inakuwaje mtu unaweza kuingia humu halafu ukashindwa kufuatilia mpira katika website nyingine kama bbc football, Espnfc? Huwa nashindwa kuelewa hili.

Sina hakika kama nimekusoma vzr, ni kuhusu scorer?
 
kunguru mjanja Ronaldo pamoja na kuwa mchezaji mahiri na hodari uwanjani amekuwa mchezaji wa majigambo na kujiona sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom