CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Mkuu kuwa mkweli. Hata Ukiwekewa mtutu kichwani ulazimishwe kushangilia goli la Arsenal vs Man utd naamini hutashangilia. Uhai ndio ni uamuzi wa Mola hata kitakachotokea msimu ujao nacho tunaweza kusema ni uamuzi wa Mola, hujui Wenger kapangiwa nini na Mola anaweza kulibeba kombe mwakani au la.

Niwe mkweli vipi tena zaidi ya hapo?

Kwahiyo unataka kusema timu kushinda ni uamuzi wa Mola? Acha habari hizo aisee...

Chini ya Arsene Chenga, goons mtalikisikia kombe la UCL kwenye bomba tu ama mkija OT, mtaliona kwenye trophy board!!
 
Back
Top Bottom